Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Nukta muhimu katika hotuba ya Sayyid Hassan Nasrallah

    Nukta muhimu katika hotuba ya Sayyid Hassan Nasrallah

    Jan 10, 2021 21:09

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah alihutubu Ijumaa usiku kwa njia ya moja kwa moja katika televisheni ambapo hotuba hiyo ilikuwa na nukta nne muhimu za kitaifa na kimataifa.

  • Malengo ya safari ya ghafla ya Saad Hariri nchini Uturuki

    Malengo ya safari ya ghafla ya Saad Hariri nchini Uturuki

    Jan 10, 2021 05:46

    Saad Hariri, waziri mkuu mteule wa Lebanon ambaye amepewa jukumu la kuunda serikali, siku ya Ijumaa alifanya safari ya ghafla na ambayo haikuwa imetangazwa kabla kuelekea nchini Uturuki ambako alikutana na kufanya mazungumzo na rais wa nchi hiyo Recep Tayyip Erdoğan.

  • Faili la mlipuko wa Beirut na hitilafu za kisiasa nchini Lebanon

    Faili la mlipuko wa Beirut na hitilafu za kisiasa nchini Lebanon

    Dec 14, 2020 22:59

    Hivi karibuni kulitangazwa habari ya faili linalohusiana na mlipuko wa Agosti 4 mwaka huu katika bandari ya Beirut nchini Lebanon.

  • Kambi ya kukabiliana na usaliti wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel yaasisiwa Lebanon

    Kambi ya kukabiliana na usaliti wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel yaasisiwa Lebanon

    Nov 22, 2020 08:59

    Shakhsia kadhaa wa Kiislamu, kisiasa na wa vyombo vya habari nchini Lebanon wametangaza kuwa wameanzisha kambi ya kukabiliana na hatua ya kihaini ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Nasrullah: Utawala wa Trump ndio mbaya zaidi katika historia ya Marekani

    Nasrullah: Utawala wa Trump ndio mbaya zaidi katika historia ya Marekani

    Nov 12, 2020 03:57

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa rais anayeondoka wa Marekani, Donald Trump ndiyo serikali mbaya zaidi katika historia ya nchi hiyo.

  • Sababu za kucheleweshwa kuundwa baraza jipya la mawaziri Lebanon

    Sababu za kucheleweshwa kuundwa baraza jipya la mawaziri Lebanon

    Nov 05, 2020 23:02

    Matarajio ya kuundwa baraza jipya la mawaziri nchini Lebanon yameambulia patupu baada ya zoezi hilo kuahirishwa. Ilitarajiwa kuwa, Waziri Mkuu wa Lebanon Saad Hariri angeunda baraza jipya la mawaziri katika siku chache zilizopita.

  • Kurudi tena Saad Hariri; 'mwokozi' mkoroga jungu la migogoro ya ndani Lebanon

    Kurudi tena Saad Hariri; 'mwokozi' mkoroga jungu la migogoro ya ndani Lebanon

    Oct 23, 2020 23:06

    Kwa mara nyingine tena, Saad Hariri amekuwa Waziri Mkuu wa Lebanon baada ya bunge kumpigia kura ya kuwa na imani naye.

  • Hariri ateuliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Lebanon, mwaka mmoja baada ya kujiuzulu

    Hariri ateuliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Lebanon, mwaka mmoja baada ya kujiuzulu

    Oct 23, 2020 03:58

    Saad Hariri ameteuliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Lebanon na sasa ametakiwa kuunda serikali yake ya nne, mwaka mmoja baada ya kuachia ngazi.

  • Kuendelea taharuki ya kisiasa Lebanon mwaka mmoja baada ya maandamano ya Oktoba 2019

    Kuendelea taharuki ya kisiasa Lebanon mwaka mmoja baada ya maandamano ya Oktoba 2019

    Oct 22, 2020 04:46

    Oktoba 17, 2019 Lebanon ilianza kushuhudia maandamano ya wananchi ambayo yalipelekea kujiuzulu aliyekuwa waziri mkuu wa wakati huo Saad Hariri; lakini baada ya kupita mwaka mzima, hadi hivi sasa nchi hiyo ingali inahangaika kumpata waziri mkuu mwingine mpya, ambaye kama atatangazwa atakuwa ni wa nne katika kipindi hiki cha mwaka mmoja.

  • Mazungumzo ya Lebanon na Israel kuhusu mpaka; hitilafu za kimpaka na malengo ya kisiasa

    Mazungumzo ya Lebanon na Israel kuhusu mpaka; hitilafu za kimpaka na malengo ya kisiasa

    Oct 15, 2020 06:40

    Duru ya kwanza ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya jumbe za mazungumzo za Lebanon na utawala haramu wa Israel ilifanyika jana Jumanne Oktoba 13 na yamepangwa kuendelea wiki mbili zijazo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS