Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Sera za kuingilia kati za Macron nchini Lebanon

    Sera za kuingilia kati za Macron nchini Lebanon

    Sep 28, 2020 06:02

    Matukio ya Kisiasa ya hivi karibuni nchini Lebanon hususan baada ya mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut mwezi Agosti mwaka huu ambao umepelekea kujiuzulu serikali ya nchi hiyo yametayarisha mazingira ya uingiliaji wa nchi za Magharibi hususan Ufaransa na Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo

  • Kushindwa Mustapha Adib kuunda serikali nchini Lebanon; sababu na matokeo yake

    Kushindwa Mustapha Adib kuunda serikali nchini Lebanon; sababu na matokeo yake

    Sep 27, 2020 04:15

    Waziri Mkuu wa Lebanon, Mustapha Adib ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, baada ya kushindwa kuunda serikali na tayari Rais Michel Aoun amekubali kujiuzulu kwake.

  • Waziri Mkuu wa Lebanon ajiuzulu baada ya kushindwa kuunda serikali

    Waziri Mkuu wa Lebanon ajiuzulu baada ya kushindwa kuunda serikali

    Sep 26, 2020 08:46

    Waziri Mkuu wa Lebanon, Mustapha Adib ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, baada ya kushindwa kuunda serikali.

  • Walebanon waandamana dhidi ya hatua ya Imarati na Bahrain ya kuanzisha uhusiano na Israel

    Walebanon waandamana dhidi ya hatua ya Imarati na Bahrain ya kuanzisha uhusiano na Israel

    Sep 24, 2020 08:29

    Maelfu ya wananchi wa Lebanon wameandamana katika mji mkuu Beirut na kutangaza upinzani wao dhidi ya hatua yoyote ile ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Iran yakaribisha mkutano wa makundi ya Wapalestina huko Beirut

    Iran yakaribisha mkutano wa makundi ya Wapalestina huko Beirut

    Sep 05, 2020 06:45

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kikao cha pamoja cha makundi ya Wapalestina kilichofanyika katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut ni ishara kwamba viongozi wa Palestina wapo macho na wamesimama kidete mkabala wa utawala wa Kizayuni wa Israel pamoja na washirika wake.

  • Kikao cha kiistratijia cha Beirut, sauti moja ya Wapalestina

    Kikao cha kiistratijia cha Beirut, sauti moja ya Wapalestina

    Sep 05, 2020 01:53

    Makundi ya Palestina yameitisha kikao cha pamoja mjini Beirut, Lebanon na kulaani njama mbalimbali zinazofanywa dhidi ya Palestina na wamesisitiza kuwa kitu kimoja na kuendelea na muqawama katika kukabiliana na njama za Kiarabu/Kimagharibi na Kizayuni.

  • Malengo ya safari ya Ismail Haniya nchini Lebanon baada ya kupita miaka 27

    Malengo ya safari ya Ismail Haniya nchini Lebanon baada ya kupita miaka 27

    Sep 03, 2020 02:14

    Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, baada ya miaka 27 juzi Septemba Mosi aliwasili Beirut mji mkuu wa Lebanon.

  • UN yatahadharisha kuhusu athari za uharibifu wa mazingira za mlipuko wa Beirut

    UN yatahadharisha kuhusu athari za uharibifu wa mazingira za mlipuko wa Beirut

    Sep 02, 2020 23:39

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu athari mbaya za uhabiribifu wa mazingira za mlipuko uliotoke mwezi uliopita kwenye bandari ya Beirut nchini Lebanon.

  • Kufanya safari tena Rais wa Ufaransa nchini Lebanon

    Kufanya safari tena Rais wa Ufaransa nchini Lebanon

    Sep 01, 2020 06:10

    Baada ya kupita takriban mwezi mmoja tangu kutokea mlipuko mkubwa katika bandari ya Beirut, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa mara ya pili ameelekea nchini Lebanon.

  • Sababu za kuchelewa kutangazwa Waziri Mkuu mpya wa Lebanon na changamoto zake

    Sababu za kuchelewa kutangazwa Waziri Mkuu mpya wa Lebanon na changamoto zake

    Aug 28, 2020 22:05

    Licha ya kupita siku 19 tangu kujiuzulu Waziri Mkuu wa Lebanon, Hassan Diab, bado hadi hivi sasa hakuna mtu mwingine yeyote aliyechaguliwa kushika nafasi hiyo nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS