Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Nasrullah: Mapambano ya Hizbullah hayaishii ndani ya mipaka ya Lebanon

    Nasrullah: Mapambano ya Hizbullah hayaishii ndani ya mipaka ya Lebanon

    Aug 23, 2020 03:20

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kutekeleza majukumu kwa ajili ya kuisaidia jamii yote ya wanadamu ni jambo la wajibu kwa mujibu wa thamani za Uislamu, na kwamba mipaka ya kijografia na kisiasa haipaswi kuwa kizingiti cha kutekeleza wajibu huo.

  • Uamuzi wa Mahakama ya Mauaji ya Hariri; kushindwa kukubwa kwa wapinzani wa Hizbullah

    Uamuzi wa Mahakama ya Mauaji ya Hariri; kushindwa kukubwa kwa wapinzani wa Hizbullah

    Aug 19, 2020 02:14

    Mahakama maalumu ya kimataifa iliyobuniwa kwa ajili ya kuchunguza na kutoa uamuzi kuhusu mauaji ya Rafik Hariri, Waziri Mkuu wa zamani wa Lebanon imetoa hukumu yake kuhusiana na suala hilo baada ya kupita miaka 11 ambapo imeziondolea lawama Syria na Hizbullah ya Lebanon kuhusu mauaji hayo.

  • Mahakama ya Kimataifa ya Hague: Hizbullah haikuhusika katika mauaji ya Hariri

    Mahakama ya Kimataifa ya Hague: Hizbullah haikuhusika katika mauaji ya Hariri

    Aug 18, 2020 21:56

    Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) huko ya The Hague nchini Uholanzi imetoa hukumu ikisema kuwa harakati ya Hizbullah ya Lebanon haikuhusika katika mauaji ya waziri mkuu wa zamani wa Lebanon, Rafiq al Hariri.

  • Zarif: Wanaotumia vibaya mlipuko wa Beirut wanataka kuteteresha amani ya Lebanon

    Zarif: Wanaotumia vibaya mlipuko wa Beirut wanataka kuteteresha amani ya Lebanon

    Aug 14, 2020 09:12

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran leo amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Waziri Mkuu wa Lebanon mjini Beirut na kusema kuwa, wanaotumia vibaya mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut wana nia ya kuyumbisha amani ya Lebanon.

  • Erdogan: Safari ya Macron nchini Lebanon ilikuwa na malengo ya kikoloni

    Erdogan: Safari ya Macron nchini Lebanon ilikuwa na malengo ya kikoloni

    Aug 14, 2020 06:32

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ana malengo ya kikoloni nchini Lebanon na kwamba safari yake ya siku chache zilizopita mjini Beirut ilifanyika kwa shabaha ya kutunisha misuli.

  • Bunge la Lebanon laidhinisha sheria ya Hali ya Hatari Beirut, lalipa jeshi mamlaka maalumu

    Bunge la Lebanon laidhinisha sheria ya Hali ya Hatari Beirut, lalipa jeshi mamlaka maalumu

    Aug 13, 2020 09:28

    Bunge la Lebanon limeidhinisha utekelezaji wa sheria ya hali ya hatari katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut kufuatia tukio la mripuko katika bandari ya Beirut uliosababisha hasara kubwa ya mali na roho za watu.

  • Waziri Mkuu wa Lebanon ajiuzulu

    Waziri Mkuu wa Lebanon ajiuzulu

    Aug 10, 2020 23:07

    Waziri Mkuu wa Lebanon Hassan Diyab amejiuzulu. Diyab amechukua uamuzi huo kufuatia mripuko uliotokea hivi karibuni katika bandari ya Beirut na kutokana na mashinikizo ambayo yameendelea kuiandama serikali ya nchi hiyo.

  • Mawaziri wanne na wabunge tisa wa Lebanon wajiuzulu

    Mawaziri wanne na wabunge tisa wa Lebanon wajiuzulu

    Aug 10, 2020 10:24

    Mawaziri wanne na wabunge tisa wa Lebanon wamejiuzulu nyadhifa zao kufuatia mlipuko mkubwa ulioikumba nchi hiyo wiki iliyopita.

  • Uungaji mkono wa wazi wa Marekani kwa hatua za uharibifu nchini Lebanon

    Uungaji mkono wa wazi wa Marekani kwa hatua za uharibifu nchini Lebanon

    Aug 10, 2020 01:58

    Marekani imeshadidisha hatua na mwenendo wake wa uingiliaji masuala ya ndani ya Lebanon kwa shabaha ya kudhoofisha mhimili wa muqawama na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah.

  • Msimamo wa Sayyid Nasrullah kuhusu mlipuko wa bandari ya Beirut

    Msimamo wa Sayyid Nasrullah kuhusu mlipuko wa bandari ya Beirut

    Aug 08, 2020 10:16

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah jana usiku alizungumzia mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut akisisitiza udharura wa kutambuliwa wahusika wake na kukaribisha misaada ya nchi za kigeni kwa Lebanon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS