-
WFP kutoa misaada kwa Lebanon baada ya kuathiriwa na mlipuko wa Beirut
Aug 07, 2020 23:55Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umetangaza kuwa umeamua kuisadia Lebanon kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut.
-
Mfuko wa Fedha wa Kimataifa wataka jamii ya kimataifa iisaidie Lebanon
Aug 07, 2020 03:44Mkurugenzi Mwandamizi wa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa IMF jana Alkhamisi alitoa taarifa akiitaka jamii ya kimataifa na nchi rafiki za Lebanon ziisaidie nchi hiyo kupunguza hasara iliyotokana na mlipuko mkubwa uliotokea siku ya Jumanne alasiri katika bandari ya Beirut.
-
Malengo ya safari ya Macron mjini Beirut
Aug 07, 2020 02:24Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amefanya safari katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut, siku mbili tu baada ya kutokea mlipuko mkubwa uliosababisha maafa na hasara kubwa katika mji huo.
-
Meja Jenerali Salami: Taifa la Iran halitaacha kulisaidia taifa la Lebanon katika hali ngumu ya hivi sasa
Aug 06, 2020 05:37Meja Jenerali Hussein Salami, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitaliacha mkono taifa la Lebanon katika hali ngumu ya hivi sasa.
-
Amnesty International yataka kufanyike uchunguzi kuhusu mlipuko wa Beirut
Aug 06, 2020 05:02Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusu mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut nchini Lebanon.
-
Josep Borrell atoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Lebanon kufuatia mlipuko wa Beirut
Aug 06, 2020 03:28Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ametoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Lebanon kufuatia kujiri mlipuko katika bandari ya mji mkuu Beirut.
-
Rais wa Lebanon: Tutawapa adhabu kali waliosababisha kutokea mripuko wa Beirut
Aug 05, 2020 23:58Rais Michel Aoun wa Lebanon amesisitiza ulazima wa kufanyika uchunguzi haraka iwezekanavyo ili kubaini nini hasa kilichotokea kuhusiana na tukio la mripuko wa Jumanne katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
-
Iran yatuma misaada ya chakula na dawa Lebanon
Aug 05, 2020 06:30Hilali Nyekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma shehena ya kwanza ya misaada ya dharura ya dawa, vifaa vya tiba na chakula nchini Lebanon kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa mlipuko wa jana mjini Beirut.
-
Kujiuzulu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon; duru mpya ya ukwamishaji mambo dhidi ya serikali ya Hassan Diab
Aug 04, 2020 06:49Nassif Hitti, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon Jumatatu ya jana tarehe 3 Agosti alitangaza kujiuzulu wadhifa huo.
-
Waziri wa Ulinzi: Lebanon iko tayari kukabiliana na hujuma ya utawala wa Kizayuni
Aug 02, 2020 23:09Waziri wa Ulinzi wa Lebanon amesema jeshi la nchi yake liko tayari kabisa kukabiliana na uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.