Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu hali ya ndani na ya siasa za kigeni ya Lebanon

    Mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu hali ya ndani na ya siasa za kigeni ya Lebanon

    Jul 09, 2020 02:31

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon Jumanne usiku alitoa hotuba muhimu na kuzungumzia hali ya ndani na siasa za kigeni za nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Jeshi la Lebanon lajiweka sawa baada ya askari wa Israel kwenda mpakani

    Jeshi la Lebanon lajiweka sawa baada ya askari wa Israel kwenda mpakani

    Jun 19, 2020 23:27

    Jeshi la Lebanon limejiweka katika hali ya tahadhari baada ya kuripotiwa uwepo wa makumi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mpaka wa nchi hiyo ya Kiarabu na Palestina.

  • Njama mpya nchini Lebanon; fitina za kimadhehebu kwa mbinu za kisiasa

    Njama mpya nchini Lebanon; fitina za kimadhehebu kwa mbinu za kisiasa

    Jun 10, 2020 08:59

    Katika siku za karibuni Lebanon kwa mara nyingine imekuwa ikishuhudia machafuko ambapo watu wa kushukiwa na kutiliwa shaka wamekuwa wakimiminika mitaani na kupiga nara za kichochezi na za fitiza za kimadhehebu pamoja na kukabiliana na walinda amani nchini humo.

  • Larijani: Kukombolewa kusini mwa Lebanon ulikuwa mwanzo wa mabadiliko makubwa Asia Magharibi

    Larijani: Kukombolewa kusini mwa Lebanon ulikuwa mwanzo wa mabadiliko makubwa Asia Magharibi

    May 25, 2020 07:43

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kukombolewa kusini mwa Lebanon ulikuwa mwanzo wa mabadiliko makubwa na muhimu katika eneo la Asia Magharibi mabadiliko ambayo kwa taufiki ya Mwenyezi Mungu yataishia kwenye kukombolewa Quds na ardhi zote zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Jeshi la Lebanon: Kukombolewa kusini mwa Lebanon yalikuwa mafanikio makubwa dhidi ya Israel

    Jeshi la Lebanon: Kukombolewa kusini mwa Lebanon yalikuwa mafanikio makubwa dhidi ya Israel

    May 22, 2020 08:01

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Lebanon amehutubu kwa mnasaba wa mwaka wa 20 wa kukombolewa eneo la kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu na kuongeza kwamba, lau kama si kusimama imara kwa taifa hilo, basi mafanikio hayo makubwa yasingepatikana.

  • Hizbullah: Tumejiandaa barabara kuzima uchokozi wowote wa Israel

    Hizbullah: Tumejiandaa barabara kuzima uchokozi wowote wa Israel

    May 20, 2020 22:05

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama imejiandaa vilivyo na ipo tayari kikamilifu kukabiliana na uvamizi na chokochoko zozote za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon: Tupo vitani na utawala haramu wa Israel

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon: Tupo vitani na utawala haramu wa Israel

    Apr 20, 2020 22:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon sambamba na kuashiria kuendelea uvamizi wa utawala haramu wa Kizayuni, amesema kuwa, nchi hiyo iko katika vita na utawala huo.

  • Hizbullah: Muqawama umejiandaa kupambana na maadui

    Hizbullah: Muqawama umejiandaa kupambana na maadui

    Apr 14, 2020 07:09

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya muqawama daima iko tayari na imejiandaa barabara kukabiliana na chokochoko za maadui.

  • Kukosolewa na Lebanon utendaji wa asasi za kimataifa kuhusiana na janga la Corona

    Kukosolewa na Lebanon utendaji wa asasi za kimataifa kuhusiana na janga la Corona

    Apr 13, 2020 07:16

    Utendaji wa asasi za kimataifa kuhusiana na janga la virusi vya Corona umekosolewa vikali na Hamad Hassan, Waziri wa Afya wa Lebanon.

  • Shirika la ujasusi la Israel Mossad lashukiwa kuhusika na mauaji ya kamanda wa Hizbullah

    Shirika la ujasusi la Israel Mossad lashukiwa kuhusika na mauaji ya kamanda wa Hizbullah

    Apr 06, 2020 03:14

    Duru za Lebanon zimesema, shirika la ujasusi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Mossad na vibaraka wake ndio wanaoshukiwa kuhusika na mauaji ya kamanda wa Hizbullah Muhammad Ali Yunus.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS