-
Tehran, Beirut zajadili jinai mpya ya kigaidi ya Israel huko Lebanon
Sep 17, 2024 23:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amelaani vikali hujuma mpya ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni iliyowalenga raia wasio na hatia nchini Lebanon.
-
Iran yaionya Israel dhidi ya 'chokochoko mpya' kuhusu Lebanon
Jul 29, 2024 22:57Nasser Kan'ani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametahadharisha dhidi ya chokochoko mpya za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Lebanon kwa kisingizio cha tukio la Majdal Shams katika eneo linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo la Golan nchini Syria.
-
Jeshi la utawala wa Kizayuni lafanya shambulio la anga kusini mwa Lebanon
Jul 29, 2024 02:47Ndege za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena zimeshambulia kwa mabomu maeneo tofauti ya kusini mwa Lebanon.
-
Balozi wa Iran Lebanon: Iran daima inaunga mkono amani na utulivu katika eneo
Jul 28, 2024 04:16Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Lebanon amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haifuatilii vita na daima imekuwa ikiunga mkono amani na utulivu katika eneo la Asia Magharibi.
-
Lebanon: Hizbullah haijahusika na shambulio la roketi Golan
Jul 28, 2024 03:24Viongozi mbali mbali wa Lebanon wamekanusha vikali madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel na vyombo vya habari vya Magharibi eti Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imehusika na shambulio la roketi katika Miinuko ya Golan.
-
Kiongozi wa Hamas asisitiza kudumisha utulivu huko Lebanon
Jul 17, 2024 23:00Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesisitiza juu ya kudumisha amani na usalama huko Lebanon.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Israel inapitia siku mbaya zaidi
Jul 11, 2024 03:31Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema katika hotuba yake kuwa Utawala wa Kizayuni unapitia siku mbaya zaidi za historia yake bandia na kuwa mwishowe utawala huo utalazimika kusimamisha vita huko Ukanda wa Gaza.
-
Sayyid Nasrullah: Jinai za Israel Ghaza zimeamsha hisia za utu katika nchi za Magharibi
Jul 08, 2024 07:12Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, jinai kubwa na ambazo hazijawahi kushuhudiwa mfano wake zinazofanywa na utawala katili wa Israel huko Ghaza, zimeamsha hisia za utu na ubinadamu katika nchi za Magharibi.
-
Mashambulizi ya Ndege zisizo na Rubani za Israel kwenye kambi ya Noor Shams
Jul 03, 2024 22:49Ripoti zinasema kuwa, Wapalestina wanne wameuawa shahidi katika shambulio la ndege zisizo na rubani za Israel kwenye kambi ya Noor Shams kwenye Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Guterres: Dunia haiwezi kustahamili Lebanon iwe Gaza nyingine
Jun 22, 2024 07:02Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasi wasi mkubwa alionao kutokana na kushtadi taharuki baina ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na utawala wa Israel na kusisitiza kuwa, dunia haiwezi kuvumilia Lebanon igeuzwe Gaza nyingine.