Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • UN; Nchi 4 zinahusika na mashambulizi ya droni ya Haftar huko Libya

    UN; Nchi 4 zinahusika na mashambulizi ya droni ya Haftar huko Libya

    Feb 18, 2020 10:15

    Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ametanagza kuwa Misri, Imarati, Jordan na Russia zinahusika katika mashambulizi ya ndege zisizo na rubani ya wanamgambo wanaoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar huko Libya.

  • Russia yapinga madai ya Rais wa Uturuki kuhusiana na vita vya Libya

    Russia yapinga madai ya Rais wa Uturuki kuhusiana na vita vya Libya

    Feb 17, 2020 22:09

    Serikali ya Russia imetoa radiamali dhidi ya matamshi ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki aliyesema kuwa, Russia inaingilia vita nchini Libya na kueleza kuwa, matamshi hayo hayana ukweli wowote.

  • Umoja wa Mataifa wakosoa ukiukwaji wa vikwazo vya silaha  dhidi ya Libya

    Umoja wa Mataifa wakosoa ukiukwaji wa vikwazo vya silaha dhidi ya Libya

    Feb 17, 2020 00:02

    Afisa wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amekosoa ukiukwaji wa vikwazo vya siliha viliyowekwa na umoja huo dhidi ya Libya.

  • Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya yakosoa uingiliaji wa kigeni katika masuala ya nchi hiyo

    Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya yakosoa uingiliaji wa kigeni katika masuala ya nchi hiyo

    Feb 16, 2020 08:22

    Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya imekosoa uingiliaji wa nchi za kigeni na misaada yao kwa wapigani wa jenerali muasi, Khalifa Haftar.

  • Haftar akataa kutekeleza azimio la UN la wito wa kusitisha vita nchini Libya

    Haftar akataa kutekeleza azimio la UN la wito wa kusitisha vita nchini Libya

    Feb 15, 2020 10:23

    Kamanda wa kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) amekataa kutekeleza azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalozitaka pande zinazopigana nchini Libya kusitisha vita.

  • Ufaransa yamwalika Haftar, kinara wa uasi Libya

    Ufaransa yamwalika Haftar, kinara wa uasi Libya

    Feb 14, 2020 08:47

    Serikali ya Ufaransa imemualika mbabe wa kivita nchini Libya Jenerali Haftar ambaye ametenda jinai katika mkakati wake wa kuiondoa madarakani serikali ya Libya inayotambuliwa rasmi na Umoja wa Mataifa.

  • Vikosi vya Haftar vyapiga marufuku ndege za UN kutumia uwanja wa ndege wa mji mkuu wa Libya

    Vikosi vya Haftar vyapiga marufuku ndege za UN kutumia uwanja wa ndege wa mji mkuu wa Libya

    Feb 13, 2020 03:55

    Msemaji wa vikosi vya wapiganaji wanaojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) vinavyoongozwa na Khalifa Haftar amesema, vikosi hivyo havitaruhusu ndege za Umoja wa Mataifa kutumia uwanja pekee wa ndege unaofanya kazi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.

  • Azimio la Baraza la Usalama la UN la kutamatisha vita Libya

    Azimio la Baraza la Usalama la UN la kutamatisha vita Libya

    Feb 12, 2020 03:59

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatazamiwa kulipigia kura azimio lenye vipengee 55 vinavyoainisha ramani ya njia ya kutamatisha kikamlifu vita na mapigano nchini Libya.

  • Al Sisi atahadharisha kuhusu kupelekwa magaidi wa Syria katika nchi ya Libya

    Al Sisi atahadharisha kuhusu kupelekwa magaidi wa Syria katika nchi ya Libya

    Feb 08, 2020 23:12

    Rais wa Miisri ametahadharisha kuwa kuhamisha magaidi walioko Syria na kuwapelekwa Libya kutakuwa na matokeo hatari kwa nchi zote jirani za Kiafrika.

  • Hali mbaya ya Libya, Yemen na Syria yamsikitisha Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

    Hali mbaya ya Libya, Yemen na Syria yamsikitisha Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

    Feb 05, 2020 09:18

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa anasikitishwa sana na hali mbaya ilivyo katika nchi zenye migogoro za Libya na Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS