Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Ripoti ya Independent: Kengele za vita zasikika zaidi katika milango ya Libya

    Ripoti ya Independent: Kengele za vita zasikika zaidi katika milango ya Libya

    Jan 29, 2020 11:35

    Ripoti iliyotolewa na gazeti la Independent la Uingereza imefichua kuwa, mapatano tete ya kusitisha vita yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya madola makubwa mjini Berlin huko Ujerumani yanaelekea kuporomoka kutokana na mashambulizi ya anga yanayoshuhudiwa sasa nchini Libya na vitisho vinavyoendelea kutolewa na pande hasimu.

  • Kuendelea mgogoro nchini Libya, Haftar azidi kupiga ngoma ya vita

    Kuendelea mgogoro nchini Libya, Haftar azidi kupiga ngoma ya vita

    Jan 28, 2020 02:52

    Vita nchini Libya vimeanza upya licha ya kuweko juhudi kubwa za kimataifa za kuutafutia ufumbuzi wa kisiasa mgogoro wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika. Juhudi mbalimbali za kuyakusanya pamoja makundi hasimu ya Libya zilizofanyika katika nchi mbalimbali kama Moscow Russia, Berlin Ujerumani na Algiers nchini Algeria zimeshindwa kutuliza hali ya mambo nchini humo.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yatahadharisha kuhusu mbinu chafu za kundi la Haftar

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yatahadharisha kuhusu mbinu chafu za kundi la Haftar

    Jan 27, 2020 23:17

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imetahadharisha kuhusu vizingiti vinavyowekwa na Khalifa Haftar katika njia ya mazungumzo ya kisiasa nchini humo.

  • Msemaji wa Haftar: Mgogoro wa Libya hauwezi kutatuliwa kisiasa

    Msemaji wa Haftar: Mgogoro wa Libya hauwezi kutatuliwa kisiasa

    Jan 27, 2020 04:45

    Msemaji wa vikosi vinavyojiita Jeshi la Taifa la Libya (Libyan National Army) vinavyoongozwa na Jenerali muasi Khalifa Haftar amesema kuwa, mgogoro wa nchi hiyo hauwezi kupatiwa ufumbuzi kupitia njia za kisiasa.

  • Shirika la Mafuta la Taifa Libya: Uzalishaji umepungua kwa asilimia 75 kutokana na vizuizi vya wanamgambo wa Haftar

    Shirika la Mafuta la Taifa Libya: Uzalishaji umepungua kwa asilimia 75 kutokana na vizuizi vya wanamgambo wa Haftar

    Jan 26, 2020 03:48

    Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Libya (NOC) imesema kuwa, uzalishaji wake umepungua kwa asilimia 75 tangu wanamgambo wa Jenerali Khalifa Haftar waliposhambulia na kudhibiti visima vya mafuta nchini humo wiki iliyopita.

  • Wasudan wapinga kuwepo kwa raia wa nchi hiyo katika vita vya Libya na Yemen

    Wasudan wapinga kuwepo kwa raia wa nchi hiyo katika vita vya Libya na Yemen

    Jan 26, 2020 02:28

    Wasudani wamepinga uingiliaji wa Imarati katika masuala ya ndani ya nchi nyingine na mikakati ya Abu Dhabi ya kuwataka raia wa kigeni wanaoishi Imarati wakiwemo Wasudani kushiriki katika vita na mapigano yanayoendelea huko Libya na Yemen.

  • Ghassan Salamé: Pande hasimu Libya zimeafiki kuundwa Kamati ya Pamoja ya Kijeshi chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa

    Ghassan Salamé: Pande hasimu Libya zimeafiki kuundwa Kamati ya Pamoja ya Kijeshi chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa

    Jan 25, 2020 23:22

    Pande mbili hasinu nchini Libya zimeafiki mpango wa kuundwa Kamati ya Pamoja ya Kijeshi chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa.

  • Benki Kuu ya Libya yatahadharisha kuhusu madhara ya marufuku ya kuuza mafuta ya nchi hiyo

    Benki Kuu ya Libya yatahadharisha kuhusu madhara ya marufuku ya kuuza mafuta ya nchi hiyo

    Jan 25, 2020 08:10

    Gavana wa Benki Kuu ya Libya ametahadharisha kuhusu madhara makubwa ya kuzuiwa uuzaji mafuta ya nchi hiyo akisema kuwa, huo ni msumari wa mwisho katika jeneza la nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Ujerumani: Wasioheshimu usimamishaji vita Libya wasusiwe

    Ujerumani: Wasioheshimu usimamishaji vita Libya wasusiwe

    Jan 24, 2020 02:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini amesema katika kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi zinazopakana na Libya huko Algiers, mji mkuu wa Algeria kwamba, wale wote wasioheshimu usitishaji vita nchini Libya inabidi wawekewe vikwazo za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Libya wakutana Algeria

    Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Libya wakutana Algeria

    Jan 23, 2020 04:11

    Algeria leo itakuwa mwenyeji wa kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Libya kitakachojadili mgogoro unaoendelea nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS