Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Ujerumani: Wasioheshimu usimamishaji vita Libya wasusiwe

    Ujerumani: Wasioheshimu usimamishaji vita Libya wasusiwe

    Jan 24, 2020 02:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini amesema katika kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi zinazopakana na Libya huko Algiers, mji mkuu wa Algeria kwamba, wale wote wasioheshimu usitishaji vita nchini Libya inabidi wawekewe vikwazo za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Libya wakutana Algeria

    Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Libya wakutana Algeria

    Jan 23, 2020 04:11

    Algeria leo itakuwa mwenyeji wa kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Libya kitakachojadili mgogoro unaoendelea nchini humo.

  • Uwanja wa Ndege wa Tripoli Libya wafungwa tena baada ya kushambuliwa kwa maroketi

    Uwanja wa Ndege wa Tripoli Libya wafungwa tena baada ya kushambuliwa kwa maroketi

    Jan 22, 2020 22:58

    Uwanja pekee wa ndege unaofanya kazi mjini Tripoli Libya ulifungwa tena jana Jumatano baada ya kushambuliwa kwa maroketi.

  • Mgogoro wa Libya na jitihada za kuutafutia ufumbuzi

    Mgogoro wa Libya na jitihada za kuutafutia ufumbuzi

    Jan 22, 2020 22:56

    Nchi ya Libya imo katika siku ngumu na mgogoro mkubwa, na vita na mapigano makali yameendelea kushuhudiwa nchini humo licha juhudi kubwa za kimataifa zinazofanyika kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa mgogoro huo. 

  • Shirila la Mafuta la Taifa Libya lakataa takwa la Marekani

    Shirila la Mafuta la Taifa Libya lakataa takwa la Marekani

    Jan 22, 2020 04:49

    Shirika la Mafuta la Taifa la Libya limekataa takwa la Marekani la kuanza tena shughuli zake na kutangaza kuwa, takwa hilo la serikali ya Washington haliwezi kutekelezwa.

  • Rais wa Libya, Fayez al Sarraj, abainisha wasi wasi kuhusu uwepo wa askari wa UAE nchini humo

    Rais wa Libya, Fayez al Sarraj, abainisha wasi wasi kuhusu uwepo wa askari wa UAE nchini humo

    Jan 21, 2020 21:33

    Rais wa Serikali ya Muafaka wa Kitaifa ya Libya Fayez al Sarraj amebainisha wasiwasi wake kuhusu kuendelea kuwepo askari wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) nchini humo.

  • Mkutano wa Berlin na jitihada za kuhitimisha mgogoro wa Libya

    Mkutano wa Berlin na jitihada za kuhitimisha mgogoro wa Libya

    Jan 21, 2020 03:28

    Vita vingali vinaendelea nchini Libya wakati jitihada zinazofanywa kikanda na kimataifa za kukomesha mapigano katika nchi hiyo zikiingia katika awamu mpya.

  • EU: Mazungumzo ya kisiasa ndiyo njia pekee ya kutatua mgogoro wa Libya

    EU: Mazungumzo ya kisiasa ndiyo njia pekee ya kutatua mgogoro wa Libya

    Jan 20, 2020 20:47

    Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya na Mkuu wa Sera za Kigeni wa umoja huo wamesema kuwa, njia pekee ya kutatua mgogoro wa Libya ni mazungumzo ya kisiasa.

  • Morocco yalalamikia kutoalikwa Rabat kwenye mkutano wa amani ya Libya

    Morocco yalalamikia kutoalikwa Rabat kwenye mkutano wa amani ya Libya

    Jan 19, 2020 23:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco amelalamikia kitendo cha kutoalikwa nchi yake kushiriki mkutano wa amani ya Libya mjini Berlin, Ujerumani na akasema vigezo vinavyotumiwa kuchagua nchi kushiriki katika mkutano huo vinaibua maswali mengi.

  • UNICEF yatahadharisha kuhusu hali mbaya wanayokabiliwa nayo watoto wa Libya

    UNICEF yatahadharisha kuhusu hali mbaya wanayokabiliwa nayo watoto wa Libya

    Jan 18, 2020 04:20

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kwamba, mashambulio ya kiholela dhidi ya makazi ya raia nchini Libya yameifanya hali ya watoto na raia nchini humo izidi kuwa mbaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS