-
UN yafurahishwa na mkutano wa Berlin wa kujadili mgogoro wa Libya
Jan 16, 2020 07:55Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka jamii nzima ya kimataifa kukiunga mkono kikao cha Berlin, Ujerumani cha kutafuta njia za kuutatua kisiasa mgogoro wa Libya.
-
Bunge la Kiarabu lamuunga mkono Haftar na kutaka kuondoka Uturuki huko Libya
Jan 15, 2020 23:31Bunge la Kiarabu limewaunga mkono wanamgambo wanaoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar na limetaka kuondoka wanajeshi wa Uturuki huko Libya.
-
Juhudi za kidiplomasia za kurejesha amani na utulivu nchini Libya
Jan 14, 2020 07:02Kupanuka wigo wa mgogoro wa Libya kumepelekea kuongezeka juhudi zenye lengo la kuupatia ufumbuzi mzozo wa nchi hiyo kupitia njia za kidiplomasia.
-
Jenerali Haftar akataa kusaini makubaliano ya amani ya Libya, Moscow
Jan 14, 2020 04:45Kamanda wa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Taifa la Libya, Khalifa Haftar aliyekuwa Moscow nchini Russia kwa ajili ya kusaini mapatano na viongozi wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya ameondoka Russia bila ya kusaini hati ya makubaliano ya amani.
-
Fayez al-Sarraj azitaka pande hasimu Libya kufanya suluhu
Jan 13, 2020 04:13Waziri Mkuu wa Serikali ya Maridhiano ya Kitaifa ya Libya, Fayez al-Sarraj amezitaka pande zinazoshiriki katika mapigano kufikia suluhu.
-
Wapiganaji wa Haftar wakiuka mapatano ya usitishahaji vita Libya
Jan 12, 2020 08:27Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya (GNU) imewatuhumu wapiganaji wa jenerali muasi Khalifa Haftar kuwa wamekiuka mapatano mapya ya usitishwaji vita.
-
Usitishaji vita watekelezwa Libya huku vikosi vya Haftar vikiituhumu GNA kuwa imeukiuka
Jan 12, 2020 03:36Vikosi vitiifu kwa Khalifa Haftar, kiongozi wa kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) vimeituhumu Serikali ya Muafaka wa Kitaifa ya nchi hiyo GNA kuwa imeyakiuka makubaliano hayo.
-
Askari 20 wa Khalifa Haftar wauawa katika mapigano ya Tripoli
Jan 11, 2020 23:08Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imetangaza kuwa askari wasiopungua 20 wa linalojiita jeshi la taifa la Libya chini ya uongozi wa Jenerali Khalifa Haftar wameuawa katika mapigano ya kutaka kudhibiti mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
Vikosi vya Haftar vyaukataa wito wa Russia na Uturuki wa kusitisha vita nchini Libya
Jan 10, 2020 04:20Vikosi vya kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) linaloongozwa na Khalifa Haftar limeukataa wito uliotolewa na Russia na Uturuki wa kuhitimisha mapigano nchini Libya.
-
Wanamgambo watiifu kwa jenerali muasi Libya wauteka mji wa pwani wa Sirte
Jan 07, 2020 09:20Wanamgambo watiifu kwa Jenerali Muasi Khalifa Haftar wameuteka mji wa pwani wa nchi hiyo wa Sirte, huku Uturuki ikiwa tayari imeanza kutuma wanajeshi wake kuisaidia serikali ya Libya yenye makao yake huko Tripoli inayoungwa mkono na jamii ya kimataifa.