Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Mapigano makali yashuhudiwa karibu na uwanja wa ndege wa Tripoli, Libya

    Mapigano makali yashuhudiwa karibu na uwanja wa ndege wa Tripoli, Libya

    Dec 13, 2019 10:06

    Askari wa serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Libya wameshambuliana vikali na wapiganaji wa jenerali muasi Khalifa Haftar katika viunga vya uwanja wa ndege wa Tripoli.

  • Serikali ya muda ya Libya yaeleza wasiwasi wake kuhusu mapatano ya Sarraj na Erdogan

    Serikali ya muda ya Libya yaeleza wasiwasi wake kuhusu mapatano ya Sarraj na Erdogan

    Dec 08, 2019 23:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya muda yenye makao yake mashariki mwa Libya amesema kuwa wanatiwa wasiwasi na mapatano yaliyofikiwa kati ya serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo yenye makao makuu yake mjini Tripoli, na Uturuki.

  • Israel inawapa mafunzo ya kijeshi wapiganaji wa Haftar Libya

    Israel inawapa mafunzo ya kijeshi wapiganaji wa Haftar Libya

    Dec 08, 2019 08:27

    Gazeti la Qatar la Al-Araby Al-Jadeed limefichua kuwa, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel linawapa mafunzo ya kijeshi wanamgamboa wa kundi la wapiganaji linaloongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar ambalo linajiita Jeshi la Taifa la Libya.

  • Ugiriki yamtimua balozi wa Libya kulalamikia hati ya maelewano iliyosainiwa kati ya Libya na Uturuki

    Ugiriki yamtimua balozi wa Libya kulalamikia hati ya maelewano iliyosainiwa kati ya Libya na Uturuki

    Dec 06, 2019 23:16

    Serikali ya Ugiriki imemtimua balozi wa Libya mjini Athens, kufuatia kutiwa saini hati ya maelewano ya ushirikiano wa baharini kati ya Uturuki na serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya.

  • Serikali ya Libya yapinga ombi la Haftar la kusimamishwa vita bila ya kuondoka wanamgambo wake

    Serikali ya Libya yapinga ombi la Haftar la kusimamishwa vita bila ya kuondoka wanamgambo wake

    Dec 06, 2019 04:00

    Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya imekataa ombi la jenerali muasi Khalifa Haftar la kusimamishwa vita bila ya wapiganaji wa jenerali huyo kuondoka katika maeneo waliyoyateka. Kundi linaloongozwa na jenerali huyo muasi anayeungwa mkono na Saudia, Imarati, Misri na baadhi ya nchi, linajiita Jeshi la Taifa la Libya.

  • Maandamano ya kupinga vita yafanyika mbele ya balozi za Imarati katika nchi za Ulaya

    Maandamano ya kupinga vita yafanyika mbele ya balozi za Imarati katika nchi za Ulaya

    Dec 03, 2019 04:09

    Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wamefanya maandamano hadi mbele ya balozi za Umoja wa Falme za Kiarabu katika nchi kadhaa za Ulaya.

  • Baraza la Usalama lazionya nchi zinazoendelea kumimina silaha Libya

    Baraza la Usalama lazionya nchi zinazoendelea kumimina silaha Libya

    Dec 03, 2019 04:05

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa onyo kali kwa nchi zinazokiuka azimio la baraza hilo na kuendelea kurundika silaha nchini Libya.

  • Vikosi vya Haftar vyaua raia 14 katika mji mkuu wa Libya, Tripoli

    Vikosi vya Haftar vyaua raia 14 katika mji mkuu wa Libya, Tripoli

    Dec 02, 2019 23:53

    Kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na Khalifa Haftar linatuhumiwa kufanya mashambulizi ya anga katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli ambayo yameua raia 14.

  • Shehena ya silaha kutoka Imarati yawasili nchini Libya

    Shehena ya silaha kutoka Imarati yawasili nchini Libya

    Nov 29, 2019 07:48

    Duru za habari nchini Misri zimeelezea kuwasili nchini Libya shehena ya silaha kutoka Imarati.

  • UN yakanusha kuwatendea maovu wahajiri walioko Libya

    UN yakanusha kuwatendea maovu wahajiri walioko Libya

    Nov 29, 2019 03:49

    Umoja wa Mataifa umekadhibisha ripoti zinazodai kuwa wafanyakazi wa taasisi hiyo ya kimataifa wamewatendea isivyo wahajiri walioko katika kambi za wakimbizi nchini Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS