-
Wapiganaji wa Haftar watungua drone ya Marekani 'kimakosa'
Nov 26, 2019 00:45Kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na Khalifa Haftar limetangaza kuwa lilitungua ndege isiyo na rubani ya Marekani kwa bahati mbaya.
-
Rais wa Chad akosoa vikali uingiliaji wa NATO katika masuala ya ndani ya Libya
Nov 23, 2019 04:26Rais Idriss Deby wa Chad amesisitiza kuwa, uingiliaji wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) katika masuala ya ndani ya Libya ulipelekea kutokea maafa katika nchi hiyo na kwamba, Afrika haipaswi kubeba peke yake mzigo wa maafa hayo.
-
Sudan na Chad zapokea makumi ya wahajiri waliotimuliwa Libya
Nov 18, 2019 08:08Serikali ya Libya imewahamishia katika nchi za Sudan na Chad makumi ya wahamiaji haramu.
-
Mjumbe wa UN Libya alikosoa Baraza la Usalama kwa kushindwa kutatua mgogoro wa nchi hiyo
Nov 14, 2019 06:08Mkumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amelikosoa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kushindwa kuchukua maamuzi kuhusiana na nchi hiyo.
-
UN: Imarati, Sudan na Jordan ziliwapa wapiganaji wa Haftar silaha
Nov 10, 2019 04:01Rasimu ya ripoti ya Umoja wa Mataifa imefichua kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu, Sudan na Jordan zimekiuka vikwazo vya silaha vya umoja huo kwa kulipa silaha kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na Jenerali mstaafu Khalifa Haftar.
-
Imarati yatuhumiwa kuhusika na shambulizi la anga lililoua wahajiri 53 Libya
Nov 06, 2019 21:43Nyaraka za siri za Umoja wa Mataifa zinaonesha kuwa, ndege ya kivita ya nchi ajinabi ndiyo iliyotekeleza shambulizi la anga lililolenga kituo cha kuwazuilia wahajiri haramu mashariki mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli na kuua makumi miongoni mwao.
-
Wahajiri haramu 148 waokolewa katika pwani ya Libya
Oct 20, 2019 23:08Gadi ya ulinzi wa pwani ya Libya imefanikiwa kuwaokoa wahajiri haramu 148 waliokuwa hatarini kuzama katika maji ya pwani ya nchi hiyo.
-
Libya yahamishia nchini Misri wahamiaji haramu 95
Oct 17, 2019 23:55Serikali ya Libya imewahamishia nchini Misri makumi ya wahamiaji haramu wanaodaiwa kuwa na magonjwa ya kuambukiza.
-
UN: Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya
Oct 12, 2019 04:27Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya kufikia sasa.
-
Musa Ibrahim: Libya imeharibiwa kwa lengo la kupora tena utajiri wa Afrika
Oct 08, 2019 01:08Msemaji wa zamani wa utawala wa Libya amesema kuwa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) umevamia na kuibomoa Libya lengo lake likiwa ni kuendelea kupora utajiri wa Afrika.