-
Wapiganaji wawili wa Jenerali Haftar wauawa karibu na mji mkuu wa Libya
Oct 02, 2019 07:21Wapiganaji wawili wa jenerali muasi Khalifa Haftar wameuawa katika mapigano na wanajeshi wa serikali ya Umoja wa Kitaifa inayotambuliwa kimataifa, karibu na mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Gadi ya pwani ya Libya yaokoa makumi ya wahajiri
Sep 29, 2019 23:06Gadi ya Pwani ya Libya imetangaza kuwaokoa wahajiri haramu wapatao 70 baada ya boti yao kuzama katika bahari ya Mediterania.
-
Haftar atangaza kuwa tayari kufanya mazungumzo na Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya
Sep 27, 2019 08:53Jenerali Khalifa Haftar, kamanda wa jeshi la kitaifa la Libya ametangaza kuwa, yuko tayari kufanya mazungumzo na Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.
-
Raia wanane wa Russia wauawa nchini Libya
Sep 27, 2019 03:22Wanajeshi wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya wamesema kuwa, shambulio la anga lililofanywa na wanamgambo wa jenerali muasi Khalifa Haftar huko kusini mwa Tripoli, mji mkuu wa Libya, limeua raia wanane wa Russia.
-
Al Sarraj ataka kukomeshwa uingiliaji wa nchi ajinabi huko Libya
Sep 26, 2019 23:08Waziri Mkuu na Mkuu wa baraza la uongozi la serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ametaka kusitishwa uingiliaji wa Imarati, Misri na Ufaransa katika masuala ya ndani ya nchi yake.
-
Droni ya Imarati yashambulia Tripoli, watu kadhaa wa familia moja wajeruhiwa vibaya
Sep 22, 2019 23:13Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa droni ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) imeshambulia eneo moja la makazi ya raia katika mji mkuu wa Libya Tripoli.
-
Watu 18 wauawa katika mapigano baina ya vikosi vya Haftar na serikali, Libya
Sep 21, 2019 23:31Kwa akali watu 18 wameuawa katika makabiliano makali baina ya vikosi vinavyojiita Jeshi la Taifa la Libya vinavyoongozwa na Jenerali mstaafu Khalifa Haftar na vile vya serikali ya mwafaka wa kitaifa kusini mwa mji mkuu, Tripoli.
-
Kundi la Jenerali Haftar laua askari 14 wa serikali ya mwafaka wa kitaifa ya Libya
Sep 20, 2019 10:24Askari 14 wa vikosi vya serikali ya mwafaka wa kitaifa ya Libya wameuliwa katika mashambulio ya anga yaliyofanywa na vikosi vinavyojiita Jeshi la Taifa la Libya vinavyoongozwa na Jenerali mstaafu Khalifa Haftar.
-
Makamanda wa Haftar wauawa karibu na Tripoli, Libya
Sep 14, 2019 06:57Wapiganaji watatu wa 'Jeshi la Kitaifa la Libya' wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar wameuawa na wanajeshi wa Serikali ya Mapatano ya Kitaifa Libya inayoongozwa na Waziri Mkuu Fayez al-Sarraj inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa karibu na mji mkuu Tripoli.
-
Rwanda kuwapokea mamia ya wakimbizi waliokwama Libya
Sep 11, 2019 02:31Serikali ya Rwanda imekubali kuwapokea mamia ya wakimbizi na watu wanaotafuta hifadhi waliokwama nchini Libya.