-
Iran, Lebanon, Iraq, Yemen zaanza luteka ya kuwaunga mkono Wapalestina Gaza
Mar 27, 2025 11:30Vikosi vya Baharini vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) pamoja na vikosi kutoka Lebanon, Iraq na Yemen, vinafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya majini katika 'maonyesho ya nguvu' dhidi ya Israel na kutangaza mshikamano na Wapalestina huko Gaza.
-
Kamanda Irani: Nchi za kanda zinaweza kujidhaminia usalama
Mar 12, 2025 12:43Kamanda wa Jeshi la Wanamaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa maadui wanapaswa kubadili mtazamo wao kuhusu kanda hii na kusisitiza kuwa nchi za kanda zinaweza kuhakikisha usalama wao wenyewe.
-
"Luteka ya Mkanda wa Usalama, dhihirisho la uwezo wa Jeshi la Majini la Iran"
Mar 12, 2025 07:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya 'Mkanda wa Usalama 2025' yanadhihirisha ushujaa na uwezo mkubwa wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu katika medani za kimataifa.
-
Jeshi la Iran laanza Luteka ya Zulfiqar-1403 pwani ya kusini
Feb 22, 2025 11:52Vikosi tofauti vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeanza awamu kuu ya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Zulfiqar-1403 leo Jumamosi (Februari 22) katika pwani ya Makran, kusini mashariki, Bahari ya Oman, na kaskazini mwa Bahari ya Hindi.
-
Iran: Iwapo usalama wetu utahatarishwa, mchokozi hatobaki salama
Feb 21, 2025 02:27Mkuu wa Majeshi ya Iran amesema: Iwapo usalama wa taifa letu utahatarishwa, basi usalama wa eneo hili zima la Kusini Magharibi mwa Asia, wahusika wa uchokozi huo na waungaji mkono wao utavurugwa na hawatobaki salama.
-
Mifumo mipya ya ulinzi wa anga isiyojulikana kujaribiwa katika mazoezi ya Jeshi la Iran
Jan 07, 2025 06:36Kamanda wa Kambi ya Pamoja ya Ulinzi wa Anga ya Iran ametangaza kuwa vitengo vya ulinzi wa anga vya Jeshi la Taifa na Jeshi la Walinzi wa Mapindizi ya Kiislamu (IRGC) vimewekwa karibu na vituo nyeti, vikiwa na mifumo mipya ya ulinzi wa anga ambayo itafanyiwa mazoezi siku chache zijazo, katika luteka ya Jeshi la Iran
-
Maneva ya pamoja ya muungano wa baharini kati ya Iran, China na Russia
Mar 14, 2024 07:15Msemaji wa maneva ya "Ukanda wa Usalama wa Baharini 2024" amesema kuwa dunia inashuhudia muungano mpya wa baharini kati ya Iran, China na Russia kwa ajili ya kudhamini usalama wa kaskazini mwa bahari ya Hindi.
-
Gadi za pwani za Iran zafanya mazoezi makubwa ya kijeshi fukwe za kusini
Oct 11, 2023 12:45Gadi za Pwani za Iran zimeanza mazoezi makubwa ya kijeshi katika fukwe za Ghuba ya Uajemi, Bahari ya Oman na kaskazini ya Bahari Hindi.
-
Kamanda Mkuu wa IRGC: Iran itatoa jibu la kujutisha kwa vitisho vya maadui
Aug 02, 2023 08:04Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema, vikosi vya ulinzi vya Iran vitatoa jibu la kujutisha kwa vitisho vyovyote na hatua zozote zitakazochukuliwa na maadui.
-
China: Luteka ya pamoja na Iran, Russia imeimarisha ushirikiano wa pande tatu
Mar 31, 2023 02:16China imepongeza kufanyika kwa mafanikio hivi karibuni mazoezi ya pamoja ya kijeshi baina ya nchi hiyo, Iran na Russia katika Bahari ya Oman na kueleza kuwa, luteka hiyo imeimarisha ushirikiano na urafiki wa pande tatu katika usalama wa baharini.