Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

luteka - maneva ya kijeshi

  • Iran, China na Russia zafanya luteka ya pamoja katika Bahari ya Oman

    Iran, China na Russia zafanya luteka ya pamoja katika Bahari ya Oman

    Mar 16, 2023 11:25

    Vikosi vya majini vya Iran, Russia na China vinaendelea na mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Bahari ya Oman, huo ukiwa ni muendelezo wa juhudi za nchi tatu hizo za kuimarisha ushirikiano wa majeshi yao ya baharini.

  • Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya

    Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya "Walinzi wa Anga ya Wilaya 1401" yamalizika

    Mar 01, 2023 11:22

    Kamanda wa luteka na mazoezi ya pamoja ya kijeshi ambayo yalikuwa maalumu kwa ajili ya askari wa kulinda anga ya Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ametangaza habari ya kumalizika maneva hayo yaliyofanyika chini ya kaulimbiu ya "Walinzi wa Anga ya Wilaya 1401."

  • Mazoezi ya Kijeshi ya Zulfiqar; Dhihiriso la Nguvu za Kujihami za Iran + VIDEO

    Mazoezi ya Kijeshi ya Zulfiqar; Dhihiriso la Nguvu za Kujihami za Iran + VIDEO

    Jan 01, 2023 10:16

    Kwa mujibu wa desturi ya kila mwaka ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, mazoezi ya pamoja ya Zulfiqar yamefanyika kusini mashariki na katika pwani ya Makran.

  • Kamanda wa Iran: Jibu kali linawasubiri wavamizi wa taifa hili

    Kamanda wa Iran: Jibu kali linawasubiri wavamizi wa taifa hili

    Jan 01, 2023 07:42

    Naibu Mratibu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa, chockochoko zozote za maadui zinazolenga kuhujumu uhuru na mamlaka ya kujitawala nchi hii zitakabiliwa kwa jibu kali la kijeshi.

  • Jeshi la Iran laanza luteka kubwa ya kijeshi Lango Bahari la Hormuz, Bahari Hindi

    Jeshi la Iran laanza luteka kubwa ya kijeshi Lango Bahari la Hormuz, Bahari Hindi

    Dec 30, 2022 02:34

    Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeanza mazoezi makubwa ya kijeshi katika eneo pana la kistratejia linaloanzia mashariki mwa Lango Bahari la Hormuz hadi katika ncha ya kaskazini mwa Bahari Hindi.

  • Iran, Russia na China kushiriki katika maneva ya kijeshi ya baharini

    Iran, Russia na China kushiriki katika maneva ya kijeshi ya baharini

    Sep 23, 2022 02:43

    Mkuu wa majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa majeshi ya Iran, Russia na China yataendesha maneva ya pamoja ya kijeshi ya baharini.

  • Mazoezi makubwa ya kijeshi ya Russia, China, India; ishara ya kufeli Magharibi kuitenga Russia

    Mazoezi makubwa ya kijeshi ya Russia, China, India; ishara ya kufeli Magharibi kuitenga Russia

    Sep 03, 2022 04:26

    Licha ya shinikizo la Marekani kwa nchi nyingine kwa ajili ya kuitenga Russia kutokana na vita vya Ukraine, Moscow imeandaa mazoezi makubwa ya kijeshi ya nchi kavu, anga na baharini kwa kuzishirikisha nchi nyingine 13.

  • Jeshi la Iran laendeleza mazoezi ya ndege za kivita zisizo na rubani

    Jeshi la Iran laendeleza mazoezi ya ndege za kivita zisizo na rubani

    Aug 25, 2022 08:05

    Mazoezi ya Pamoja ya Ndege Zisizo na Rubani (droni) 1401 ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameendelea kwa siku ya pili leo ambapo droni za kivita zimefanikiwa kutekeleza oparesheni zao kwa mafanikio.

  • Jeshi la Iran kufanya maneva ya kijeshi ya droni

    Jeshi la Iran kufanya maneva ya kijeshi ya droni

    Aug 24, 2022 04:18

    Jeshi la Iran leo Jumatano linatazamiwa kuzindua luteka ya kijeshi itakayohusisha ndege zisizo na rubani (droni).

  • Kiwewe cha Marekani kwa kuzidi kuongezeka nguvu za China

    Kiwewe cha Marekani kwa kuzidi kuongezeka nguvu za China

    Aug 20, 2022 02:41

    Marekani ambayo imeingia kiwewe kutokana na kuzidi kuongezeka nguvu za China, imeahidi kuchukua hatua za kukabiliana na Beijing katika kipindi cha wiki na miezi ijayo karibu na kisiwa cha Taiwan, kwa tamaa ya kupunguza kasi ya nguvu za kijeshi na kiuchumi za China.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS