-
Luteka ya kijeshi Iran yakamilika kwa kufanyiwa majaribio kombora la S-200
Dec 29, 2016 02:37Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanyia majaribio kwa mafanikio kombora la masafa marefu la nchi kavu kuelekea angani la S-200, katika siku ya mwisho ya luteka ya kijeshi iliyofanyika kusini mwa nchi jana Jumatano.
-
Mazoezi makubwa ya kijeshi yaanza kusini mwa Iran
Dec 26, 2016 04:29Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo yanaanza mazoezi makubwa katika eneo la kusini mwa nchi.
-
Maneva ya kijeshi; wenzo wa Israel wa kuwafukuza Wapalestina kutoka katika ardhi zao
Dec 21, 2016 03:52Maneva ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel yalianza Jumatatu ya juzi katika eneo la al-Aghwar kwa lengo la kuwafukuza Wapalestina zaidi kutoka katika eneo hilo lililoko kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Misri na Jordan zafanya luteka ya pamoja mjini Akaba
Nov 06, 2016 07:47Misri na Jordan zimeanza kufanya luteka ya pamoja katika mji wa bandari wa Aqaba, kusini magharibi mwa Jordan, katika juhudi za kumarisha ushirikiano wa kijeshi kati ya nchi mbili hizo.
-
Jeshi la Iran lazionya meli za Saudia zisikaribie maji yake
Oct 06, 2016 04:41Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC limetoa onyo kali kwa manowari za Saudi Arabia zinazofanya mazoezi ya kijeshi katika Ghuba ya Uajemi, Ghuba ya Oman na Lango Bahari la Hormuz, dhidi ya kukaribia maji ya nchi hii.
-
Siasa za nyuso mbili za Marekani na majaribio ya nyuklia ya Korea Kaskazini
Sep 11, 2016 06:07Rais Barack Obama wa Marekani ameonesha kukasirishwa sana na hatua ya Korea Kaskazini ya kufanya majaribio ya tano ya nyuklia, huku viongozi wa Pyongyang wakisema kuwa, wamefanya majaribio hayo ili kujibu siasa za kiuadui za Marekani na waitifaki wake dhidi ya Korea Kaskazini.
-
Iran yafanyia majaribio makombora ya Neze’at-10 kwenye luteka ya 'Baitul Muqaddas 28'
May 22, 2016 16:21Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limefanyia majaribio makombora mawili yaliyopewa jina la Neze'at-10 katika mazoezi ya kijeshi yanayoendelea katikati mwa nchi.
-
Mazoezi ya kijeshi kusini mashariki mwa Iran
Apr 13, 2016 04:18Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) linaendelea na mazoezi makubwa ya kijeshi katika eneo la kusini mashariki mwa nchi.