-
Waislamu milioni 1.4 wameshawasili Saudia kutekeleza Ibada ya Hija
Aug 25, 2017 07:44Zaidi ya Waislamu milioni 1.4 wameshawasili Saudi Arabia hadi hivi sasa kwa ajili ya kutekeleza ibada ya kila mwaka ya Hija ambayo inaanza wiki ijayo.
-
Iran kufuatilia kisheria na kudai fidia na dia za wafanyaziara katika mazungumzo na Saudia
Jan 15, 2017 03:50Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara wa Iran amesema, katika vikao kadhaa vya ndani kuhusiana na mazungumzo yajayo na Saudi Arabia juu ya ajenda kuu ya amali za Hija, imeamuliwa kufuatilia masuala ya usalama, suhula na kadhia muhimu ya ufuatiliaji wa kisheria na kudai fidia na dia za wafanyaziara wa Kiirani waliofariki katika Msikiti Mtukufu wa Makka na eneo la Mina.
-
Usimamizi mzuri wa Iraq katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein AS
Oct 13, 2016 08:09Pamoja na kuwepo makundi hatari ya kigaidi katika maeneo mbali mbali, maombolezo ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS na wafuasi wake watiifu, yalifanyika kwa mafanikio na usalama kamili nchini Iraq katika mji wa Karbala na kuhudhuriwa na mamilioni ya wafanya ziara.
-
Saudia yafuta taarifa za maafa ya Mina; zaidi ya mahujaji 800 wamefariki mwaka huu
Sep 25, 2016 15:53Baada ya kupita mwaka mmoja tangu yalipotokea maafa ya Mina serikali ya Saudi Arabia imefuta taarifa zote kuhusu watu waliopoteza maisha katika maafa hayo.
-
Maafa ya Mina ni thibitisho watawala wa Aal Saud hawastahiki kusimamia Haram Mbili Takatifu
Sep 12, 2016 07:58Khatibu wa Sala ya Idul Adhaa mjini Tehran amesema maafa ya Mina katika msimu wa Hija mwaka jana ni thibitisho kuwa utawala wa ukoo wa Aal Saud haustahiki kusimamia Maeneo Mawili Matakatifu ya Waislamu.
-
Ujumbe wa Zarif kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kwanza ya maafa ya Mina
Sep 11, 2016 13:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kwenye ujumbe aliotoa kuhusu juhudi za dhati za Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hii katika kufuatilia maafa ya Mina ya mwaka uliopita ili kuhakikisha kuwa haki za wahanga na waliodhurika kwenye maafa hayo zinapatikana.
-
Ayatullah Makarim Shiraz autaka Ulimwengu wa Kiislamu ufuatilie kadhia ya maafa ya Mina
Sep 11, 2016 07:03Ayatullah Makarim Shirazi, Marjaa Taqlidi aliyeko katika mji wa Qom hapa nchini amesema nchi zote za Kiislamu zinapaswa kutetea damu ya mashahidi wa maafa ya Mina.
-
Qazi Askari: Ulimwengu wa Kiislamu uonyeshe radiamali kuhusiana na maafa ya Mina
Sep 10, 2016 13:47Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya Hija na Ziara amesema kuwa, Iran ndiyo nchi pekee iliyosimama kidete kuhusiana na maafa ya Mina na kwamba, Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuonyesha radiamali kuhusiana na tukio hilo chungu.
-
Mamilioni waandamana Iran kulaani jinai za Aal Saud na Aal Khalifa
Sep 10, 2016 03:25Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameandamana kote nchini kulaani jinai za tawala za kikoo za Aal Saud huko Saudi Arabia na Aal Khalifa huko Bahrain kwa jinai zao dhidi ya watu wa eneo.
-
Kiongozi Muadhamu: Saudia ikubali uchunguzi kuhusu maafa ya Mina
Sep 07, 2016 13:20Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa: "Iwapo utawala wa Saudia haupaswi kulaumiwa kuhusu maafa ya Mina, basi ukubali jopo la Kiislamu-Kimataifa lichunguze kwa karibu maafa hayo na kuweka kila kitu wazi."