Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Wanaopinga 'Brexit' waandamana wakitaka UK ijiunge tena na EU

    Wanaopinga 'Brexit' waandamana wakitaka UK ijiunge tena na EU

    Oct 24, 2022 00:30

    Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza, London wakishinikiza nchi hiyo irejee katika Umoja wa Ulaya.

  • Wataliano waandamana dhidi ya serikali; wataka kutatuliwa mgogoro wa nishati

    Wataliano waandamana dhidi ya serikali; wataka kutatuliwa mgogoro wa nishati

    Oct 16, 2022 07:14

    Wananchi wa Italia wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo, kulalamikia hatua ya serikali ya nchi hiyo kushindwa kutafutia ufumbuzi mgogoro wa nishati unaowakabili.

  • Maelfu waandamana Paris wakitaka Ufaransa iondoke NATO

    Maelfu waandamana Paris wakitaka Ufaransa iondoke NATO

    Oct 09, 2022 23:16

    Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, wakishinikiza nchi hiyo ijiondoe katika Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO).

  • Abdollahian: Serikali itakabiliana na wafanya fujo, magaidi kwa misingi ya sheria

    Abdollahian: Serikali itakabiliana na wafanya fujo, magaidi kwa misingi ya sheria

    Oct 06, 2022 04:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameuonya Umoja wa Ulaya dhidi ya kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, serikali ya Tehran itakabiliana na wafanya fujo na magaidi kwa kuzingatia misingi ya sheria za nchi hii.

  • Waislamu London walaani kuvunjiwa heshima thamani za Kiislamu

    Waislamu London walaani kuvunjiwa heshima thamani za Kiislamu

    Oct 02, 2022 04:08

    Waislamu wanaoishi London, mji mkuu wa Uingereza wamefanya maandamano ya kulalamikia vitendo vya kuvunjiwa heshima thamani za Kiislamu na chokochoko dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Maelfu waandamana Uingereza kulalamikia gharama za juu za maisha

    Maelfu waandamana Uingereza kulalamikia gharama za juu za maisha

    Oct 02, 2022 04:00

    Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya Uingereza, kulalamikia mgogoro wa mfumko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha.

  • "Ni kinaya kwa wenye uraibu wa vikwazo kudai wanawahurumia Wairani"

    Sep 28, 2022 04:44

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa undumakuwili wa Marekani ambayo inadai kuwa ina huruma na mapenzi na wananchi wa Iran, wakati ambapo imeliwekea taifa hili vikwazo shadidi.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran:

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: "Adui anachochea machafuko;" maandamano ya kulaani fujo yafanyika kote nchini

    Sep 23, 2022 08:45

    Wananchi wa Tehran na wa maeneo mengine yote ya Iran leo baada ya Sala za Ijumaa, wameshiriki kwa wingi katika maandamano makubwa ya kulaani magenge ya wanaofanya fujo, kuchoma mali za uma, kuvunjia heshima matukufu ya kidini na kijamii ya wananchi wa Iran.

  • Bin Salman akaribishwa kwa maandamano nchini Uingereza

    Bin Salman akaribishwa kwa maandamano nchini Uingereza

    Sep 18, 2022 03:36

    Makumi ya watetezi wa haki za binadamu wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini London, kulaani safari ya Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman nchini Uingereza.

  • Maandamano dhidi ya ufalme wa Uingereza yafanyika Scotland

    Maandamano dhidi ya ufalme wa Uingereza yafanyika Scotland

    Sep 14, 2022 03:17

    Kwa mara nyingine tena, maandamano makubwa yameshuhudiwa katika mji mkuu wa Scotland, Edinburg kupinga mfumo wa kifalme wa Uingereza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS