Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Maelfu waandamana Uingereza kulaani mauaji ya raia mweusi

    Maelfu waandamana Uingereza kulaani mauaji ya raia mweusi

    Sep 11, 2022 07:36

    Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza, London kulaani mauaji ya mtu mmoja mwenye asili ya Afrika yaliyofanywa na askari polisi wa nchi hiyo.

  • Mgogoro wa nishati wasababisha maandamano katika nchi za Ulaya

    Mgogoro wa nishati wasababisha maandamano katika nchi za Ulaya

    Sep 11, 2022 07:25

    Miji kadhaa ya nchi za Ulaya imeshuhudia maandamano ya kulalamikia ongezeko la bei za nishati, huku mgogoro wa mafuta ya petroli na gesi ukiendelea kuyasumbua mataifa mengi ya bara Ulaya.

  • Mahakama Angola yatupilia mbali kesi ya kupinga uchaguzi wa rais

    Mahakama Angola yatupilia mbali kesi ya kupinga uchaguzi wa rais

    Sep 09, 2022 07:56

    Mahakama ya Katiba ya Angola imetupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais wa Agosti 24, yaliyompa ushindi mgombea wa chama tawala cha MPLA, Rais Joao Lourenco.

  • Wamarekani waandamana dhidi ya vitendo vya Wazayuni huko Palestina

    Wamarekani waandamana dhidi ya vitendo vya Wazayuni huko Palestina

    Sep 09, 2022 07:48

    Wamarekani wamefanya maandamano katika baadhi ya miji ya nchi hiyo wakilaani jinai na hatua za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.

  • Wapalestina wa Gaza wataka kushtakiwa Wazayuni walioua watoto wao

    Wapalestina wa Gaza wataka kushtakiwa Wazayuni walioua watoto wao

    Aug 17, 2022 07:47

    Wakazi wa Ukanda wa Gaza wamefanya maandamano wakitaka kufunguliwa mashitaka utawala wa Kizayuni wa Israel katika mahakama za kimataifa, kwa kuua watoto wa Kipalestina katika eneo hilo ambalo liko chini mzingiro.

  • Rais wa Sierra Leone: Maandamano yalioua 27 yalilenga kuipindua serikali

    Rais wa Sierra Leone: Maandamano yalioua 27 yalilenga kuipindua serikali

    Aug 13, 2022 06:46

    Rais wa Sierra Leone amesema maandamano ya fujo yaliyoshuhidiwa wiki hii nchini humo yalifanyika kwa shabaha ya kuipundua serikali anayoiongoza.

  • Wairani waandamana kulaani ukatili wa Israel dhidi ya wakazi wa Gaza

    Wairani waandamana kulaani ukatili wa Israel dhidi ya wakazi wa Gaza

    Aug 10, 2022 06:54

    Wananchi wa Iran jana Jumanne walifanya maandamano katika mji mkuu Tehran kulaani jinai za utawala wa Kizayuni za kuwaua shahidi wanawake na watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.

  • Waandamanaji DRC wavamia ofisi za UN, wataka kuondoka askari wa MONUSCO

    Waandamanaji DRC wavamia ofisi za UN, wataka kuondoka askari wa MONUSCO

    Jul 25, 2022 23:05

    Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameshambulia makao makuu ya kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini humo MONUSCO katika mji wa Goma, makao makuu ya mkoa uliogubikwa na machafuko wa Kivu Kaskazini ambao unapakana na Rwanda na Uganda.

  • Watunisia waandamana tena kupinga rasimu ya katiba iliyopendekezwa na Rais

    Watunisia waandamana tena kupinga rasimu ya katiba iliyopendekezwa na Rais

    Jul 24, 2022 02:54

    Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Tunisia wamemimika katika mitaa na barabara za nchi hiyo kushiriki maandamano ya kupinga rasimu ya katiba iliyopendekezwa na Rais wao, Kais Saied.

  • Wapalestina watoa wito wa kufanyika maandamano makubwa kulaani safari ya kikanda ya Biden

    Wapalestina watoa wito wa kufanyika maandamano makubwa kulaani safari ya kikanda ya Biden

    Jul 13, 2022 02:52

    Wanaharakati wa Kipalestina wametoa wito wa kufanyika maandamano makubwa kulaani ziara ya Rais wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS