-
Tisa wauawa Sudan katika maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi
Jul 01, 2022 05:56Takriban waandamanaji tisa waliuawa kwa kupigwa risasi nchini Sudan siku ya Alhamisi, matabibu wamesema, huku umati mkubwa wa watu ukiingia mitaani licha ya ulinzi mkali na kukatika kwa mawasiliano kuandamana dhidi ya utawala wa kijeshi ulionyakua mamlaka miezi minane iliyopita.
-
Wamarekani waghadhibishwa na marufuku ya uavyaji mimba nchini humo
Jun 25, 2022 07:08Maandamano makubwa yameshuhudiwa katika miji na majimbo mbalimbali ya Marekani, kulalamikia hatua ya Mahakama ya Juu ya nchi hiyo ya kutengua haki ya kuavya mimba.
-
Wananchi wa Korea Kusini waandamana kupinga ngao ya Marekani ya THAAD
Jun 24, 2022 22:34Kwa mara nyingine wananchi wa Korea Kusini wamefanya maandamano kupinga mpango wa kusimikwa ngao ya makombora ya kisasa ya Marekani aina ya THAAD ndani ya nchi yao.
-
Maandamano makubwa kila pembe ya Marekani na mwito wa kuchukuliwa hatua kali zaidi za kudhibiti silaha moto
Jun 13, 2022 02:32Ongezeko kubwa la matukio ya ufyatuaji risasi dhidi ya halaiki nchini Marekani na kuongezeka pia idadi ya watu wanaouawa kwa mashambulio ya utumiaji wa silaha hizo kunakotokana na upuuzaji wa viongozi wa White House na mashinikizo ya lobi za watengezaji silaha, vimeibua wimbi kubwa la maandamano ya malalamiko ya raia wa nchi hiyo.
-
Wamarekani waandamana kutaka kubadilishwa sheria ya kumiliki bunduki nchini humo
Jun 12, 2022 03:25Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika majimbo na miji mbalimbali ya Marekani ukiwemo mji mkuu Washington, kushinikiza kuangaliwa upya sheria inayoruhusu kuuzwa na kumiliki silaha za moto kiholela nchini humo; siku chache baada ya kujiri mauaji ya kutisha huko Texas, ambapo watoto 19 wa shule na walimu wawili waliuawa kwa kufyatuliwa risasi.
-
Viongozi wa Sudan wapiga marufuku maandamano ya aina yoyote
Apr 30, 2022 06:55Viongozi wa Sudan wametangaza kupiga marufuku maandamano yoyote yale kwa mnasaba wa miaka mitatu ya maandamano ya kulalamikia madaraka ya nchi kutwaliwa na wanajeshi wa nchi hiyo.
-
Watetezi wa Palestina wafanya maandamano mbele ya ubalozi wa Israel mjini New York
Apr 21, 2022 21:22Makundi ya wapinzani wa utawala ghasibu wa Israel yamefanya maandamano mbele ya ubalozi mdogo wa Tel Aviv mjini New York, Marekani na kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina. Maandamano hayo yamefanyika kupinga ukatili na jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina.
-
Wamorocco, Wabahrain, Waturuki waandamana kuitetea Aqsa, Syria, Kuwait zatoa kauli
Apr 17, 2022 03:47Wananchi wa Morocco wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Rabat kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina, sanjari na kulaani kitendo cha utawala haramu wa Israel cha kuuvamia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa.
-
Wanigeria waandamana kutaka Zakzaky apewe paspoti yake
Apr 12, 2022 05:57Wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja, kuishinikiza serikali ya nchi hiyo impe Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo pasipoti yake ya kusafiria iliyotwaa.
-
Macron na Le Pen waingia duru ya pili uchaguzi wa rais Ufaransa, ushiriki umepungua
Apr 11, 2022 07:20Rais anayemaliza muda wake wa Ufaransa, Emmanuel Macron na mgombea mwenye siasa kali za mrengo wa kulia wa , Marine Le Pen wameongoza matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais wa Ufaransa uliofanyika jana Jumapili, na wakahamia duru ya pili kati ya hizi. uchaguzi uliopangwa kufanyika Aprili 24.