-
Wayemen wafanya maandamano ya kulaani uvamizi na vita dhidi ya nchi yao
Mar 26, 2022 22:01Wananchi wa Yemen katika mkoa wa Saada jana Jumamosi walimiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kupinga na kulaani moto wa vita uliowashwa na Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya nchi hiyo maskini kuanzia mwezi Machi 2015 na kuendelea hadi sasa.
-
Maandamano ya Wasudani milioni moja kufanyika leo, wanapinga utawala wa kijeshi
Mar 21, 2022 04:17Makundi yanayopinga utawala wa kijeshi nchini Sudan yameitisha maandamano ya watu milioni moja leo Jumatatu, ambayo wamesema yataelekea katika ikulu ya rais katikati mwa mji mkuu, Khartoum. Maandamano ya leo ya Wasudani yanafuatia yale yaliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika miji mingine kadhaa ya Sudan.
-
Waturuki wabeba picha za Shahidi Soleimani wakiandamana dhidi ya Israel
Mar 12, 2022 09:54Wananchi wa Uturuki jana Ijumaa, kwa mara nyingine tena walimiminika mabarabarani katika maandamano ya kulaani ziara tata ya rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini mwao.
-
Wasudan waandamana tena kupinga utawala wa kijeshi, 50 wajeruhiwa
Mar 04, 2022 08:47Zaidi ya watu 50 wamejeruhiwa katika maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum na miji mingine mikubwa ya nchi hiyo.
-
Walebanoni waandamana kuunga mkono operesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine
Mar 04, 2022 04:34Wakazi wa mji mkuu wa Lebanon, Beirut wamefanya maandamano wakishirikiana na Warussia wanaoishi nchini humo wakiunga mkono operesheni ya Jeshi la Russia dhidi ya "mafashisti wa Ukraine".
-
Waislamu Nigeria waandamana kulaani mauaji ya kimbari ya utawala wa Saudi Arabia nchini Yemen
Feb 19, 2022 04:13Waislamu nchini Nigeria wakiitikia wito wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja, kulaani jinai za muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Saudi Arabia ambao umeendelea kutenda jinai na mauaji ya kimbari nchini Yemen.
-
28 wajeruhiwa katika maandamano ya Wasudan ya kupinga utawala wa kijeshi
Feb 18, 2022 08:02Watu wasiopungua 28 wamejeruhiwa katika maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum.
-
Waafghani waandamana kulaani wizi wa mabilioni uliofanywa na Marekani
Feb 13, 2022 09:15Wananchi wa Afghanistan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kabul, kulalamikia kitendo cha hatua ya Marekani ya kupora mabilioni ya dola za Afghanistan na kuzitumia kuwalipa wanaodai fidia kutokana na mashambulizi ya Septamba 11 mwaka 2001.
-
Maandamano mapya ya Wasudan ya kupinga utawala wa kijeshi
Feb 08, 2022 04:18Mamia ya wananchi wa Sudan jana Jumatatu kwa mara nyingine tena waliandamana katika mji mkuu Khartoum kupinga utawala wa kijeshi nchini humo.
-
Maandamano kwa ajili ya kuachiliwa huru mfungwa wa kisiasa wa serikali ya Congo DRC
Jan 19, 2022 08:25Maandamano yalifanyika jana Jumanne huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ajili ya kushinikiza kuachiliwa huru mfungwa mashuhuri wa kisiasa wa serikali ya Kinshasa ambapo makumi ya watu walikeruhiwa katika maandamano hayo.