-
Waliouawa katika ghasia za Kazakhstan wapindukia 160
Jan 09, 2022 13:31Wizara ya Mambo ya Ndani ya Kazakhstan imetangaza kuwa, watu 160 wakiwemo maafisa usalama wameuawa tangu kuanza kwa machafuko katika nchi hiyo ya Asia ya Kati wiki moja iliyopita.
-
Wanataaluma wa Sudan wapinga mazungumzo ya UN
Jan 09, 2022 13:27Chama cha Wanataaluma cha Sudan ambacho kiliongoza maandamano ya wananchi yaliyopelekea kung'olewa madarakani utawala wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Omar al Bashir, kimetangaza kuwa hakiungi mkono mazungumzo yaliyoitishwa na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kujaribu kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini humo.
-
Baraza la Usalama la UN kujadili mgogoro wa Sudan
Jan 08, 2022 12:26Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatazamiwa kukutana Jumatano ijayo kujadili mgogoro wa kisiasa unaoikabili Sudan kwa miezi kadhaa sasa, huku wananchi wa nchi hiyo wakiendeleza maandamano yao ya kupinga utawala wa kijeshi.
-
Baada ya makabiliano makali, Rais wa Kazakhstan atangaza kurejeshwa nidhamu, atoa amri ya kupigwa risasi “waasi”
Jan 07, 2022 15:51Televisheni ya taifa ya Kazakhstan imemnukuu Rais wa nchi hiyo, Kassym-Jomart Tokayev, akisema leo Ijumaa kwamba nidhamu na utawala wa kikatiba umerejeshwa katika maeneo mengi ya nchi hiyo.
-
Iran: Wakazakhstan wanaweza kutatua matatizo yao bila uingiliaji wa maajinabi
Jan 07, 2022 03:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema wananchi wa Kazakhstan wana uwezo wa kuupatia ufumbuzi mgogoro uliopo, pasi na kutegemea uingiliaji wa madola ajinabi.
-
Makumi wauawa katika maandamano ya fujo Kazakhstan
Jan 06, 2022 13:32Makumi ya watu wameuawa katika makabiliano baina ya waandamanaji na maafisa usalama nchini Kazakhstan, huku maandamano ya ghasia yakichachamaa katika nchi hiyo ya Asia ya Kati.
-
Askari wa Sudan watawanya maandamano kwa kutumia gesi ya kutoa machozi, raia wawili wauawa Khartoum
Jan 03, 2022 02:37Askari usalama wa Sudan jana Jumapili waliwatawanya waandamanaji kwa kutumia gesi ya kutoa machozi huku huduma ya inteneti ikivurugika.
-
Wanawake nchini Sudan waandamana, wapinga kubakwa waandamanaji wa kike
Dec 24, 2021 15:52Hali ya taharuki imetanda katika duru za Sudan kwa siku kadhaa sasa, huku habari zikisambaa kuwa idadi kubwa ya vijana wa kike walibakwa na kunyanyaswa walipokuwa wakishiriki maandamano Jumapili iliyopita dhidi ya utawala wa kijeshi.
-
Kupasisha UN azimio la kufungua njia za misaada Afghanistan baada ya maandamano ya kulalamikia ubeberu wa Marekani mjini Kabul
Dec 24, 2021 02:29Wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano walipasisha kwa kauli moja azimio la kurahisisha kutumwa misaada ya kibinadamu nchini Afghanistan baada ya wakazi wa Kabul, mji mkuu wa Afghanistan kufanya maandamano ya kulalamikia ubeberu wa Marekani wa kuzuia mali za nchi yao na kuwasababishia matatizo makubwa wananchi hao.
-
Waafghanistan wapaza sauti zao dhidi ya Marekani: 'Tuacheni tupate riziki ya kula'
Dec 22, 2021 02:42Mamia ya wakazi wa mji mkuu wa Afghanistan, Kabul wameandamana katika mitaa ya mji huo hadi mahali ulipo ubalozi uliofungwa wa Marekani, wakihimiza kuachiliwa mali na fedha za nchi hiyo zilizozuiliwa na Washington na nchi zingine za Magharibi.