-
Wanawake nchini Sudan waandamana, wapinga kubakwa waandamanaji wa kike
Dec 24, 2021 12:22Hali ya taharuki imetanda katika duru za Sudan kwa siku kadhaa sasa, huku habari zikisambaa kuwa idadi kubwa ya vijana wa kike walibakwa na kunyanyaswa walipokuwa wakishiriki maandamano Jumapili iliyopita dhidi ya utawala wa kijeshi.
-
Kupasisha UN azimio la kufungua njia za misaada Afghanistan baada ya maandamano ya kulalamikia ubeberu wa Marekani mjini Kabul
Dec 23, 2021 22:59Wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano walipasisha kwa kauli moja azimio la kurahisisha kutumwa misaada ya kibinadamu nchini Afghanistan baada ya wakazi wa Kabul, mji mkuu wa Afghanistan kufanya maandamano ya kulalamikia ubeberu wa Marekani wa kuzuia mali za nchi yao na kuwasababishia matatizo makubwa wananchi hao.
-
Waafghanistan wapaza sauti zao dhidi ya Marekani: 'Tuacheni tupate riziki ya kula'
Dec 21, 2021 23:12Mamia ya wakazi wa mji mkuu wa Afghanistan, Kabul wameandamana katika mitaa ya mji huo hadi mahali ulipo ubalozi uliofungwa wa Marekani, wakihimiza kuachiliwa mali na fedha za nchi hiyo zilizozuiliwa na Washington na nchi zingine za Magharibi.
-
Kuendelea mgogoro nchini Sudan sambamba na kukandamizwa wapinzani
Dec 21, 2021 06:05Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan ungali unaendelea. Akthari ya raia wa Sudan wameendelea kujitokeza katika barabara na mitaa ya miji mbalimbali ya nchi hiyo wakionyesha upinzani wao dhidi ya utawala wa kijeshi na kusisitiza kueendeleza maandamano hadi demokrasia itakapochukua mkondo wake.
-
Maandamano ya kupinga safari ya waziri wa vita wa Israel yashamiri nchini Morocco
Dec 06, 2021 23:22Maandamano ya kupinga safari ya waziri wa vita wa Israel nchini Morocco yamesambaa zaidi katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Wanawake nchini Italia waandamana kulaani ukatili wa kijinsia
Nov 28, 2021 08:29Mitaa na barabara za Rome, mji mkuu wa Italia zimeshuhudia maandamano makubwa ya wanawake wanaolalamikia ongezeko la kesi za ukatili wa kijinsia na mizozo ya kinyumbani.
-
Wasudan washinikiza wanajeshi warudi makambini, kuundwe serikali ya raia
Nov 25, 2021 23:18Wananchi wa Sudan wameendelea na maandamano yao wakishinikiza wanajeshi warudi makambini ili waruhusu kuundwa serikali ya kiraia na ya kidemokrasia nchini humo.
-
5 wauawa katika maandamano dhidi ya utawala wa kijeshi nchini Sudan
Nov 14, 2021 00:16Kwa akali watu watano wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi nchini Sudan.
-
Wananchi wa Sudan waandamana usiku wakipinga utawala wa kijeshi
Nov 13, 2021 00:50Wananchi wa Sudan wamefanya maandamano usiku wa kumkia leo wakilalamikia mapinduzi ya kijeshi ya nchi hiyo na hatua ya Jenerali Abdul-Fatah al-Burhan ya kuunda Baraza la Utawala.
-
Wanaharakati Sudan watangaza migomo, wakataa pendekezo la kugawana madaraka na jeshi
Nov 07, 2021 08:37Harakati inayoongoza maandamano ya upinzani nchini Sudan imetangaza migomo ya nchi nzima kwa muda wa siku mbili sambamba na kupinga juhudi zinazoungwa mkono kimataifa za kurejesha utaratibu wa kugawana madaraka na jeshi kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini humo mwishoni mwa mwezi uliopita.