-
Wapinzani wa serikali ya Misri waandamana mkabala wa alipofikia al Sisi huko Scotland
Nov 01, 2021 11:21Wapinzani wa serikali ya utawala wa Rais Abdel Fattah al Sisi wa Misri wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Scotland, Edinburgh.
-
Aal-Khalifa yashadidisha ukandamizaji dhidi ya Wabahrain
Oct 31, 2021 23:39Vikosi vya usalama vya utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain vimewatiwa mbaroni wanaharakati wengine wa kisiasa wanaoupinga na kuukosoa utawala huo wa kiukoo.
-
Maandamano ya wananchi dhidi ya mapinduzi ya kijeshi yanaendelea nchini Sudan
Oct 30, 2021 22:51Mamilioni ya wananchi wa Sudan wameendelea kufanya maandamano katika miji ya Sudan na miji mingine 50 ya kona mbalimbali za dunia ili kutangaza upinzani wao dhidi ya mapinduzi ya kijeshi nchhini humo.
-
Wanaharakati wa kulinda mazingira walemaza shughuli zote mashariki na magharibi ya London, Uingereza
Oct 27, 2021 09:30Wanaharakati wa kulinda mazingira wamelemaza na kukwamisha shughuli mbalimbali katika maeneo mawili ya mashriki na magharibi ya mji mkuu wa Uingereza, London baada ya kufanya mgomo wa kuketi wakilalamikia hali ya mabadiliko ya tabianchi na kuongezeka joto la sayari ya dunia.
-
Hamdok: Sudan inasumbuliwa na mgogoro mbaya zaidi wa kipindi cha mpito
Oct 16, 2021 22:57Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok ameonya kuwa nchi hiyo inakabiliwa na "mgogoro mbaya zaidi" katika kipindi hiki cha serikali ya mpito iliyoundwa baada ya kuondolewa madarakani aliyekuwa mtawala wa muda mrefu wa Sudan, Omar al-Bashir zaidi ya miaka miwili iliyopita.
-
Wabahrain waendeleza maandamano ya kupinga uhusiano na Israel
Oct 15, 2021 00:49Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kulaani hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa nchi hiyo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Waislamu Bangladesh waandamana kulaani kuvunjiwa heshima Qurani Hekaluni
Oct 14, 2021 11:12Kwa akali watu watatu wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu nchini Bangladesh.
-
Maelfu waandamana kumuunga mkono Rais wa Tunisia
Oct 04, 2021 08:06Zaidi ya watu elfu tano wameshiriki maandamano ya kumuunga mkono Rais Kais Saied wa Tunisia anayetuhumiwa na upinzani kuhodhi madaraka yote ya utendaji ya nchi hiyo.
-
Maelfu ya Wapalestina wasali Sala ya Ijumaa Quds licha hatua kali za Israel za kuwazuia
Oct 01, 2021 23:05Wapalestina wapatao 50,000 jana walisali Sala ya Ijumaa katika msikiti mtakatifu wa al-Aqswa licha ya hatua kali za jeshi la utawala haramu wa Israel la kuwazuia waumini kuingia katika kibla hicho cha kwanza chah Waislamu.
-
Watunisia waandamana dhidi ya serikali katika mji mkuu, Tunis
Sep 26, 2021 11:37Wananchi wa Tunisia leo Jumapili wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tunis kupinga hatua za karibuni za Rais Kais Saeid.