-
Wananchi wa Argentina waandamana kuliunga mkono taifa la Palestina
Sep 17, 2021 06:53Wanaharakati wa kisiasa na viongozi wa asasi za kijamii na za haki za binadamu nchini Argentina wameandamana wakitangaza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Maandamano dhidi ya Pakistan mjini Kabul, Afghanistan
Sep 13, 2021 20:59Idadi kubwa ya wananchi wa Kabul mji mkuu wa Afghanistan wamekusanyika mbele ya ubalozi wa Pakistan wakiitaka Islamabad iache kuingilia masuala ya ndani ya nchi yao.
-
Wabahrain waandamana wakipinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Sep 12, 2021 03:14Wananchi wa Bahrain wameendelea kupinga hatua ya nchi yao ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel unaotenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Wafaransa waendeleza maandamano kupinga sheria za serikali kuhusu corona
Sep 05, 2021 06:22Wananchi wa Ufaransa wameendeleza maandamano kwa wiki ya nane mfululizo kupinga sheria kali ambazo serikali ya nchi hiyo imeziweka kukabiliana na maambukizi ya corona.
-
Wananchi wa Bahrain walaani kutumwa balozi wa Aal-Khalifa huko Israel
Sep 04, 2021 05:53Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kulaani hatua ya utawala wa Aal-Khalifa ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel, sanjari na pande mbili hizo kubadilishana mabalozi.
-
Wayemen waandamana jijini Sana'a wakitaka kuondolewa mzingiro
Aug 10, 2021 23:15Wananchi wa Yemen jana Jumanne walifanya maandamano nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sana'a, kulaani mzingiro uliowekwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo.
-
Maelfu ya watu waandamana Ghana dhidi ya serikali
Aug 04, 2021 22:02Maelfu ya watu wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu wa Ghana, Accra kushiriki maandamano dhidi ya serikali ya Rais Nana Akufo-Addo wa nchi hiyo.
-
Hujuma dhidi ya Harakati ya Kiislamu Nigeria zimewafanya mayatima watoto 1,800
Jul 25, 2021 06:56Jukwaa la Akademia la Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) limesema hatua ya vyombo vya usalama vya nchi hiyo kuhujumu na kushambulia shughuli za kidini za harakati hiyo imepelekea watoto karibu elfu mbili kuwa mayatima.
-
Maelfu waandamana katika nchi za Magharibi kupinga chanjo ya lazima ya Corona
Jul 25, 2021 06:50Maelfu ya watu wameendelea kuandamana kwa siku kadhaa sasa katika baadhi ya nchi za Magharibi kupinga sheria kali za kudhibiti msambao wa virusi vya Corona na vile vile kulalamikia hatua ya serikali za nchi hizo kuwalazimisha wananchi kupiga chanjo ya ugonjwa wa Covid-19.
-
Wanaharakati wa Saudia kufanya maandamano ya kupinga serikali Siku ya Arafa
Jul 18, 2021 03:45Wanaharakati wa Saudi Arabia wamepanga kufanya maandamano ya kitaifa dhidi ya utawala wa Al Saud Siku ya Arafa.