-
Kimbunga 'Ana' chaua watu 34 Madagascar, 2 Msumbiji
Jan 26, 2022 12:13Makumi ya watu wameaga dunia kutokana na kimbunga kikali kilichoipiga Madagascar kwa siku kadhaa sasa.
-
UN yatahadharisha: Madagascar inakaribia kukumbwa na njaa kutokana na ukame mkubwa
Sep 03, 2021 11:43Kisiwa cha Madagascar kinachopatikana katika Bahari ya Hindi barani Afrika kwa miaka minne sasa kimeathiriwa na ukame uliosabbaishwa na mabadiliko ya tabianchi. Watu nchini humo wanalazimika kula nzige na majani ya mwituni ili kubakia hai.
-
Majenerali wa kijeshi Madagascar waswekwa ndani kwa 'kutaka kumuua Rais'
Aug 02, 2021 11:04Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Madagascar ametangaza habari ya kutiwa mbaroni majenerali watano wa jeshi na maafisa kadhaa wa ngazi za juu wa polisi ya nchi hiyo wakituhumiwa kuhusika na njama iliyofeli ya kutaka kumuua Rais wa nchi hiyo, Andry Rajoelina.
-
Wafaransa wawili watiwa mbaroni kwa kufanya njama za kumuua rais wa Madagascar
Jul 22, 2021 11:17Duru za habari zimeripoti kutiwa mbaroni raia wawili wa Ufaransa kwa tuhuma za kufanya njama za kutaka kumuua Rais wa Madagascar.
-
Wafungwa 20 wauawa katika jaribio la kutoroka gerezani Madagascar
Aug 24, 2020 11:54Wafungwa 20 wameuawa katika makabiliano ya risasi baina yao na askari gereza katika jaribo la kukimbia jela nchini Madagascar.
-
Wabunge wawili na maseneta wawili wafariki dunia Madagascar kutokana na corona
Jul 13, 2020 13:02Wabunge wawili, seneta mmoja na naibu seneta wa Madagascar wameaga dunia kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Madagascar yaendelea kugawa dawa ya Corona licha ya kuwepo shaka na upinzani juu yake
May 10, 2020 04:11Licha ya kuwepo shaka na upinzani dhidi ya dawa inayodaiwa kutibu ugonjwa wa Covid-19, serikali ya Madagascar inaendelea kugawa dawa hiyo.
-
SAUTI, Makundi ya wabeba silaha nchini CAR yatishia kuisusa serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo na kushika tena silaha
Apr 27, 2020 16:28Makundi ya wabeba silaha nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati yametishia kujiondoa katika serikali ya umoja wa kitaifa iliyoundwa yapata mwaka mmoja uliopita.
-
Maelfu wapanga foleni kupewa kinywaji 'kinachotibu' corona Madagascar
Apr 24, 2020 02:32Maelfu ya wananchi wa Madagascar jana Alkhamisi walionekana kwenye foleni ndefu za kupokea kile kinachotajwa kuwa kinywaji malumu cha asili, cha kutibu ugonjwa wa Covid-19 unaojulikana kwa jina maarufu la corona.
-
SAUTI, Shirika la Msalaba Mwekundu lawataka wahisani duniani kutuma misaada yao ili kuwasaidia waathirika wa mapigano ya hivi karibuni
Jan 29, 2020 16:07Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati limewataka wahisani duniani kutuma misaada yao kwenda shirika hilo ili liweze kuwahudumia watu walioathirika na mapigano ya hivi karibuni nchini humo.