-
Rajoelina ashinda kiti cha urais Madagascar kwa muhula wa tatu
Nov 26, 2023 02:59Tume ya Uchaguzi ya Madagascar jana Jumamosi ilitangaza kuwa Andry Rajoelina ameshinda tena kuiongoza nchi hiyo kwa muhula wa tatu katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa Rais uliosusiwa na karibu wagombea wote wa upinzani.
-
Wamadagascar washiriki uchaguzi wa rais uliosusiwa na upinzani
Nov 16, 2023 00:42Wananchi wa Madagascar hii leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kushiriki uchagujzi wa rais ambao umesusiwa na upinzani.
-
Rajoelina azindua kampeni kuelekea uchaguzi wa Rais Madagascar
Oct 11, 2023 04:22Andre Rajoelina Rais wa Madagascar aliyemaliza muhula wake wa uongozi amezindua kampeni zake kuelekea uchaguzi wa Rais uliopangwa kufanyika mwezi ujao nchini humo.
-
Watu 30 wapoteza maisha kutokana na kimbunga cha tropiki Madagascar
Jan 31, 2023 03:23Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na kimbunga kikali cha tropiki cha Cheneso kilichoipiga Madagascar imeongezeka na kufikia 30.
-
Madagascar yakumbwa na tufani ya Cheneso; barabara kuelekea mji mkuu zimebomoka
Jan 24, 2023 23:33Wilaya kadhaa katika mkoa wa Mahajanga kaskazini magharibi mwa Madagascar zimekumbwa na mafuriko pamoja na barabara zinazoziunganisha wilaya hizo kueleke amji mkuu, Antananarivo. Kimbunga kwa jina la "Cheneso" kinaendelea kukiathiri kisiwa hicho kinachopatikana katika bahari ya Hindi huku watu zaidi ya 15,000 pia wakiathirika.
-
Kimbunga Batsirai chaikumba Madagascar, 10 wauawa na 48,000 wameyahama makazi yao
Feb 07, 2022 09:10Watu wasiopungua 10 wameaga dunia na karibu 48,000 wamekimbia makazi yao kutoka na kimbunga Batsirai, ambacho kimekikumba kisiwa hicho kilichoko kilomita 400 kutoka pwani ya Mashariki ya Afrika.
-
Kimbunga Batsirai kusababisha watu 150,000 kupoteza makazi Madagascar
Feb 05, 2022 01:12Huenda watu 150,000 wakakosa pahala pa kuishi kutokana athari za Kimbunga cha Batsirai kinachotazamiwa kukipiga kisiwa cha Madagascar leo Jumamosi.
-
Watu 19 waaga dunia kutokana na athari za kimbunga 'Ana' Malawi
Jan 27, 2022 04:19Idara ya Kitaifa ya Kupambana na Majanga ya Malawi imesema watu 19 wamefariki dunia kutokana na kimbunga kikali cha kitropiki kilichopewa jina la Ana katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo.
-
Kimbunga 'Ana' chaua watu 34 Madagascar, 2 Msumbiji
Jan 26, 2022 08:43Makumi ya watu wameaga dunia kutokana na kimbunga kikali kilichoipiga Madagascar kwa siku kadhaa sasa.
-
UN yatahadharisha: Madagascar inakaribia kukumbwa na njaa kutokana na ukame mkubwa
Sep 03, 2021 07:13Kisiwa cha Madagascar kinachopatikana katika Bahari ya Hindi barani Afrika kwa miaka minne sasa kimeathiriwa na ukame uliosabbaishwa na mabadiliko ya tabianchi. Watu nchini humo wanalazimika kula nzige na majani ya mwituni ili kubakia hai.