-
Kampeni za uchaguzi wa rais Madagascar zamalizika
Nov 05, 2018 15:31Wagombea urais Madagascar wamemaliza kampeni zao leo huku upigaji kura ukitazamiwa kufanyika Jumatano tarehe saba.
-
Amnesty: Watu 52 wameaga dunia wakiwa kizuizini Madagascar
Oct 23, 2018 13:30Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema watu 52 walifariki dunia katika mazingira ya kutatanisha wakiwa korokoroni wakisubiri kesi zao mwaka jana 2017 nchini Madagascar.
-
Rais wa Madagascar ajiuzulu ili kuwania urais mwezi Novemba
Sep 08, 2018 15:21Rais Hery Rajaonarimampianina wa Madagascar amejiuzulu, ili aweze kupata fursa ya kuwania urais kwa muhula wa pili mfululizo.
-
Rais wa sasa na wawili wa zamani wa Madagascar kugombea urais
Aug 19, 2018 04:09Rais wa sasa wa Madagascar na watangulizi wake wawili watachuana katika kinyang'anyiro cha kuwania kiti cha rais wa nchi hiyo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika tarehe 7 Novemba.
-
Waziri Mkuu wa Madagascar atangaza kujiuzulu
Jun 04, 2018 14:28Waziri Mkuu wa Madagascar, Olivier Mahafaly Solonandrasana ametangaza kujiuzulu wadhifa wake leo Jumatatu, ikiwa ni katika kufuata agizo la mahakama la kutaka kuundwa serikali mpya ya muungano wa kitaifa kwa ajili ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa unaoendelea kutokota katika kisiwa hicho.
-
Jeshi la Madagascar latishia 'kuzima mgogoro wa kisiasa'
Jun 01, 2018 13:46Waziri wa Ulinzi wa Madagascar ametishia kuwa, ikilazimu, jeshi la nchi hiyo litaingilia kati iwapo serikali na upinzani zitashindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa unaoshuhudiwa nchini humo kwa muda sasa.
-
Amri ya Mahakama ya Katiba ya Madagascar ya kubuniwa nchini serikali ya umoja wa kitaifa
May 26, 2018 12:55Mahakama ya Katiba ya Madagascar imetoa amri ya kubuniwa serikali mpya ya umoja wa kitaifa kwa ajili ya kumaliza mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Mahakama ya Katiba Madagascar yaagiza kuundwa serikali ya muungano
May 26, 2018 07:59Mahakama ya Katiba nchini Madagascar imemuagiza Rais Hery Rajaonarimampianina wa nchi hiyo kuvunja serikali ya sasa na kuunda serikali ya muungano, kwa lengo la kutamatisha mgogoro wa kisiasa unaoshuhudiwa katika kisiwa hicho kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.
-
Upinzani nchini Madagascar wakataa upatanishi wa UN
May 08, 2018 16:55Upinzani nchini Madagascar umepinga upatanishi wa Umoja wa Mataifa katika mgogoro unaoendelea kutokota katika kisiwa hicho cha kusini mashariki mwa Afrika.
-
Maadamano ya wananchi Madagascar yailazimu mahakama kuu kufuta sheria mpya ya uchaguzi
May 05, 2018 04:29Hatimaye Mahakama Kuu ya Katiba nchini Madagascar imefuta sehemu ya sheria mpya ya uchaguzi iliyoibua hivi karibuni ghasia na maandamano ya wananchi.