Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Madagascar

  • Mahakama ya Katiba Madagascar yathibitisha ushindi wa Andry Rajoelina

    Mahakama ya Katiba Madagascar yathibitisha ushindi wa Andry Rajoelina

    Jan 09, 2019 01:11

    Mahakama ya Katiba ya Madagascar imethibitisha ushindi wa Andry Rajoelina na kutupilia mbali madai ya kuweko udanganyifu yaliyowasilisha na hasimu wake Marc Ravalomanana.

  • Wapinzani Madagascar wataka kura za uchaguzi wa rais zihesabiwe tena

    Wapinzani Madagascar wataka kura za uchaguzi wa rais zihesabiwe tena

    Dec 29, 2018 23:50

    Wafuasi wa kambi ya upinzani nchini Madagascar wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Antananarivo wakitaka kuhesabiwa tena kura za uchaguzi wa rais uliofanyika hivi karibuni nchini humo.

  • Uchaguzi Madagascar; Ravalomanana apinga ushindi wa Rajoelina mahakamani

    Uchaguzi Madagascar; Ravalomanana apinga ushindi wa Rajoelina mahakamani

    Dec 28, 2018 12:32

    Siku moja baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Madagascar kutangaza matokeo ya muda yaliyoonesha kuwa rais wa zamani wa nchi hiyo Andry Rajoelina ndiye aliyepata kura nyingi zaidi katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais iliyofanyika Disemba 19, mpinzani wake mkuu Marc Ravalomanana ameenda mahakamani kupinga matokeo hayo.

  • Marais 2 wa zamani wajitangaza washindi wa duru ya pili ya uchaguzi Madagascar

    Marais 2 wa zamani wajitangaza washindi wa duru ya pili ya uchaguzi Madagascar

    Dec 20, 2018 11:28

    Wagombea wawili wa duru ya pili ya uchaguzi wa rais nchini Madagascar, ambao wamewahi kuwa marais wa kisiwa hicho, Marc Ravalomanana na Andry Rajoelina, wamejitangaza washindi wa uchaguzi huo uliofanyika jana, licha ya Tume ya Uchaguzi kusema kuwa imehesabu asilimia tano tu ya kura kufikia sasa.

  • Duru ya pili ya uchaguzi wa Rais Madagascar yafanyika leo, marais 2 wa zamani wachuana

    Duru ya pili ya uchaguzi wa Rais Madagascar yafanyika leo, marais 2 wa zamani wachuana

    Dec 19, 2018 04:06

    Wananchi wa Madagascar waliotimiza masharti ya kupiga kura mapema leo wameelekea katika masanduku ya kupigia kura kushiriki duru ya pili ya uchaguzi wa rais, unaowachuanisha marais wawili wa zamani wa kisiwa hicho, Marc Ravalomanana na Andry Rajoelina.

  • Marais wawili wa zamani Madagascar waingia duru ya pili ya uchaguzi

    Marais wawili wa zamani Madagascar waingia duru ya pili ya uchaguzi

    Nov 18, 2018 03:55

    Marais wawili wa zamani wa Madagascar, Andry Rajoelina na Marc Ravalomanana wamepata kura za kutosha katika uchaguzi wa rais ambazo zitawawezesha kuchuana katika duru ya pili mwezi ujao.

  • EU: Uchaguzi wa rais Madagascar ni wenye itibari

    EU: Uchaguzi wa rais Madagascar ni wenye itibari

    Nov 10, 2018 04:43

    Waangalizi wa Umoja wa Ulaya katika uchaguzi wa rais uliomalizikka nchini Madagascar wamesema kuwa ukiukaji ulioshuhudiwa katika duru ya kwanza ya uchaguzi huo ulikuwa mdogo sana.

  • Kiongozi wa zamani Madagascar aongoza matokeo ya awali uchaguzi wa rais

    Kiongozi wa zamani Madagascar aongoza matokeo ya awali uchaguzi wa rais

    Nov 08, 2018 04:56

    Zoezi la kuhesabu kura katika uchaguzi wa rais limekuwa likiendelea mapema leo huko Madagascar huku kiongozi wa zamani wa nchi hiyo Andry Rajoelina akiongoza matokeo ya awali kwa mujibu wa kura zilizohesabiwa katika vituo vichache nchini humo.

  • Kampeni za uchaguzi wa rais Madagascar zamalizika

    Kampeni za uchaguzi wa rais Madagascar zamalizika

    Nov 05, 2018 12:01

    Wagombea urais Madagascar wamemaliza kampeni zao leo huku upigaji kura ukitazamiwa kufanyika Jumatano tarehe saba.

  • Amnesty: Watu 52 wameaga dunia wakiwa kizuizini Madagascar

    Amnesty: Watu 52 wameaga dunia wakiwa kizuizini Madagascar

    Oct 23, 2018 10:00

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema watu 52 walifariki dunia katika mazingira ya kutatanisha wakiwa korokoroni wakisubiri kesi zao mwaka jana 2017 nchini Madagascar.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS