Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Madagascar

  • Rais wa Madagascar ajiuzulu ili kuwania urais mwezi Novemba

    Rais wa Madagascar ajiuzulu ili kuwania urais mwezi Novemba

    Sep 08, 2018 10:51

    Rais Hery Rajaonarimampianina wa Madagascar amejiuzulu, ili aweze kupata fursa ya kuwania urais kwa muhula wa pili mfululizo.

  • Rais wa sasa na wawili wa zamani wa Madagascar kugombea urais

    Rais wa sasa na wawili wa zamani wa Madagascar kugombea urais

    Aug 18, 2018 23:39

    Rais wa sasa wa Madagascar na watangulizi wake wawili watachuana katika kinyang'anyiro cha kuwania kiti cha rais wa nchi hiyo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika tarehe 7 Novemba.

  • Waziri Mkuu wa Madagascar atangaza kujiuzulu

    Waziri Mkuu wa Madagascar atangaza kujiuzulu

    Jun 04, 2018 09:58

    Waziri Mkuu wa Madagascar, Olivier Mahafaly Solonandrasana ametangaza kujiuzulu wadhifa wake leo Jumatatu, ikiwa ni katika kufuata agizo la mahakama la kutaka kuundwa serikali mpya ya muungano wa kitaifa kwa ajili ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa unaoendelea kutokota katika kisiwa hicho.

  • Jeshi la Madagascar latishia 'kuzima mgogoro wa kisiasa'

    Jeshi la Madagascar latishia 'kuzima mgogoro wa kisiasa'

    Jun 01, 2018 09:16

    Waziri wa Ulinzi wa Madagascar ametishia kuwa, ikilazimu, jeshi la nchi hiyo litaingilia kati iwapo serikali na upinzani zitashindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa unaoshuhudiwa nchini humo kwa muda sasa.

  • Amri ya Mahakama ya Katiba ya Madagascar ya kubuniwa nchini serikali ya umoja wa kitaifa

    Amri ya Mahakama ya Katiba ya Madagascar ya kubuniwa nchini serikali ya umoja wa kitaifa

    May 26, 2018 08:25

    Mahakama ya Katiba ya Madagascar imetoa amri ya kubuniwa serikali mpya ya umoja wa kitaifa kwa ajili ya kumaliza mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • Mahakama ya Katiba Madagascar yaagiza kuundwa serikali ya muungano

    Mahakama ya Katiba Madagascar yaagiza kuundwa serikali ya muungano

    May 26, 2018 03:29

    Mahakama ya Katiba nchini Madagascar imemuagiza Rais Hery Rajaonarimampianina wa nchi hiyo kuvunja serikali ya sasa na kuunda serikali ya muungano, kwa lengo la kutamatisha mgogoro wa kisiasa unaoshuhudiwa katika kisiwa hicho kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.

  • Upinzani nchini Madagascar wakataa upatanishi wa UN

    Upinzani nchini Madagascar wakataa upatanishi wa UN

    May 08, 2018 12:25

    Upinzani nchini Madagascar umepinga upatanishi wa Umoja wa Mataifa katika mgogoro unaoendelea kutokota katika kisiwa hicho cha kusini mashariki mwa Afrika.

  • Maadamano ya wananchi Madagascar yailazimu mahakama kuu kufuta sheria mpya ya uchaguzi

    Maadamano ya wananchi Madagascar yailazimu mahakama kuu kufuta sheria mpya ya uchaguzi

    May 04, 2018 23:59

    Hatimaye Mahakama Kuu ya Katiba nchini Madagascar imefuta sehemu ya sheria mpya ya uchaguzi iliyoibua hivi karibuni ghasia na maandamano ya wananchi.

  • Maandamano dhidi ya rais wa Madagascar yanaendelea

    Maandamano dhidi ya rais wa Madagascar yanaendelea

    Apr 28, 2018 11:46

    Zaidi ya wanaharakati 1,000 wanaoipinga serikali ya Madagascar wameendelea na maandamano yao kwa siku ya nane mfululizo wakimtaka rais wa nchi hiyo ajiuzulu.

  • Kambi ya upinzani Madagascar yamtaka rais wa nchi ajiuzulu

    Kambi ya upinzani Madagascar yamtaka rais wa nchi ajiuzulu

    Apr 27, 2018 03:35

    Kambi ya upinzani nchini Madagascar imemtaka Rais na Waziri Mkuu wa nchi hiyo wajiuzulu na kusisitiza kwamba haitashiriki tena katika mazungumzo juu ya mgogoro wa kutunga sheria mpya ya uchaguzi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS