-
Rais wa Madagascar asema wapinzani wanataka kumpindua
Apr 23, 2018 03:27Rais wa Madagascar amewaonya vikali wanasiasa wa upinzani wanaochochea kile anachokitaja kama njama za kumpindua madarakani na kusisitiza kuwa serikali itawachukulia hatua kali za kisheria.
-
Wapinzani waandamana Madagascar kupinga sheria mpya za uchaguzi
Apr 21, 2018 09:42Maelfu ya wapinzani nchini Madagascar wameandamana leo katika mji mkuu Antananarivo wakilalamikia sheria mpya za uchaguzi wa Rais zilizopasishwa na Bunge la nchi hiyo.
-
Watu 17 wafariki dunia katika tufani kali nchini Madagascar
Mar 19, 2018 03:43Kwa akali watu 17 wameripotiwa kupoteza maisha katika tufani kali nchini Madagascar.
-
Idadi ya walioaga dunia kwa kimbunga nchini Madagascar wafikia 51
Jan 15, 2018 11:01Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na kimbunga kilichoiathiri Madagascar siku kumi zilizopita wameongezeka na kufikia 51, huku watu wengine 22 wakiwa hawajulikani walipo hadi sasa.
-
Kimbunga chaua makumi Madagascar, maelfu wakosa makazi
Jan 10, 2018 01:06Kimbunga kikali kilichoyakumba maeneo ya mashariki mwa nchi ya Madagascar kimeua watu wasiopungua 29 na kuwajeruhi wengine kadhaa.
-
Ugonjwa wa tauni wauwa watu 124 Madagascar; miji mikubwa yatajwa kuathirika zaidi
Oct 25, 2017 12:05Ugonjwa wa tauni nchini Madagascar umeuwa watu 24 tangu mwezi Agosti mwaka huu, katika mripuko unaoonekana kuiathiri zaidi miji miwili mikubwa ya kisiwa hicho kinachopatikana katika Bahari ya Hindi. Hayo yameelezwa leo na maafisa husika wa Madagascar.
-
WHO: Watu 94 wameaga dunia kwa ugonjwa wa tauni nchini Madagascar
Oct 20, 2017 13:13Idadi ya vifo vilivyosababishwa na mlipuko wa ugonjwa wa tauni nchini Madagascar hadi sasa vimefikia 94 huku kesi nyingine za maambukizi ya ugonjwa huo zikiwa zaidi ya 1,100.
-
Indhari ya WHO kutokana na mripuko wa tauni iliyoua watu 24 Madagascar
Oct 01, 2017 11:58Shirika la Afya Duniani WHO limeeleza wasi wasi wake kutokana na mripuko wa ugonjwa wa tauni ambao umeua makumi ya watu kufikia sasa nchini Madagascar.
-
Spika wa Bunge la Tanzania na wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wakutana na Larijani
Aug 04, 2017 22:11Maspika wa mabunge ya Tanzania na Madagascar na wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wamekutana na kufanya mazungumzo katika nyakati tofauti na Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran.
-
34 wafariki dunia katika ajali ya barabarani nchini Madagascar
Aug 02, 2017 03:36Kwa akali watu 34 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika kisiwa cha Madagascar.