-
Spika wa Bunge la Tanzania na wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wakutana na Larijani
Aug 04, 2017 22:11Maspika wa mabunge ya Tanzania na Madagascar na wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wamekutana na kufanya mazungumzo katika nyakati tofauti na Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran.
-
34 wafariki dunia katika ajali ya barabarani nchini Madagascar
Aug 02, 2017 03:36Kwa akali watu 34 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika kisiwa cha Madagascar.
-
Wapinzani Madagascar wafanya maandamano licha ya marufuku ya polisi
Jul 08, 2017 12:13Wafuasi wa kambi ya upinzani nchini Madagascar wamefanya maandamano leo katika mji mkuu wa nchi hiyo, Antananarivo licha ya maandamano hayo kupigwa marufuku na vyombo vya usalama.
-
Idadi ya Waislamu nchini Madagascar imeongezeka ndani ya miaka saba iliyopita
Jun 04, 2017 10:48Jamii ya Waislamu nchini Madagascar imeongezeka zaidi katika kipindi cha miaka saba ya hivi karibuni.
-
Idadi ya waliouawa na kimbunga Madagascar yapindukia 50
Mar 12, 2017 01:04Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na Kimbunga cha Enawo katika kisiwa cha Madagascar imepindukia watu 50.
-
Waliouawa kwa kimbunga Madagascar wafikia 38
Mar 11, 2017 10:49Watu wasiopungua 38 wameuawa kwa kimbunga cha "Enawo" kilichoikumba Madagascar wiki hii. Hayo yameelezwa na afisa wa Idara ya Kukabiliana na Majanga ya nchi hiyo.
-
Kimbunga, maporomoko ya ardhi vyaua watu 16 kisiwani Madagascar
Mar 10, 2017 10:36Kwa akali watu 16 wameaga dunia kufuatia maporomoko ya ardhi katika eneo la Vatomandry, mashariki mwa Madagascar.
-
Kimbunga chasababisha maafa na hasara kisiwani Madagascar
Mar 09, 2017 12:56Kimbunga cha Enawo kimesababisha vifo vya watu watano huku makumi ya maelfu ya wengine wakiachwa bila makao katika kisiwa cha Madagascar.
-
Nchi za jumuiya ya Francophone zasisitiza udharura wa kupambana na ugaidi
Nov 29, 2016 10:20Washiriki katika mkutano wa kimataifa wa 16 wa Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Kifaransa (Francophone) wametilia mkazo udharura wa kupambana na ugaidi na kuanzisha ulimwengu wenye amani na usalama.
-
Mkutano wa 16 wa Francophone waanza leo nchini Madagascar
Nov 26, 2016 12:30Mkutano wa 16 wa wanachama katika Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Kifaransa (Francophone) umeanza leo Jumamosi katika mji mkuu wa Madagascar, Antananarivo.