-
Ukame waendelea kuizonga Madagascar
Jul 23, 2016 22:22Serikali ya Madagascar imeendelea kukumbwa na mgogoro wa ukosefu wa chakula kutokana na hali ya ukame na ungezeko la jangwa ndani ya nchi hiyo.
-
Malumbano ya kisiasa Madagascar baada ya mripuko wa bomu
Jun 28, 2016 02:14Katika siku ya sherehe za kitaifa, nchini Madagascar, kulijiri mripuko wa bomu mjini Antananarivo, mji mkuu wa nchi hiyo na kusababisha makumi ya watu kuuawa na wengine kujeruhiwa.
-
Serikali na wapinzani wakabana koo Madagascar
Jun 27, 2016 11:33Serikali ya Madagascar na wapinzani wake wanatuhumiana kuhusika na mlipuko uliotokea katika mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kulihutubia Bunge la Madagascar leo
May 11, 2016 03:04Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anatazamiwa kulihutubia Bunge la Madagascar hii leo, kabla ya kukutana na kufanya mazungumzo na rais wa nchi hiyo.
-
Watu wenye silaha washambulia magharibi mwa Madagascar, waua na kujeruhi
Apr 27, 2016 02:55Watu wenye silaha wamefanya shambulizi magharibi mwa Madagascar na kuua watu wawili na kujeruhi wengine kadhaa katika eneo hilo.
-
Waziri Mkuu wa Madagascar amejiuzulu pamoja na baraza lake la mawaziri.
Apr 08, 2016 23:26Taarifa ya kujiuzulu Jean Ravelonarivo Waziri Mkuu wa Madagascar na baraza lake la mawaziri ilitolewa jana Ijumaa na afisa katika ofisi ya rais ambaye hakutoa maelezo yoyote.
-
Watu milioni mbili wanakabiliwa na njaa nchini Madagascar
Feb 13, 2016 04:24Serikali ya Madagascar imetangaza kuwa, watu milioni mbili katika maeneo ya vijijini wanakabiliwa na njaa. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, watu milioni moja wanakabiliwa na njaa katika eneo la kusini mwa nchi hiyo kufuatia ukame mkali uliyolikumba eneo hilo.