-
"Nchi za Magharibi zilizofaidika na utumwa ziwape fidia Waafrika"
Jan 01, 2022 12:53Nchi za Magharibi zilizohusika na kustafidi na biashara haramu ya utumwa zimetakiwa kuzilipa fidia nchi za Afrika kutokana na jinai za utumwa na ukoloni.
-
Kuongezeka kwa mzozo kati ya Russia na Magharibi juu ya Ukraine na upanuzi wa NATO kuelekea Mashariki
Dec 04, 2021 14:36Katika wiki za hivi karibuni, makabiliano kati ya Russia na Magharibi kuhusu Ukraine yamechukua sura mpya, huku pande mbili zikitoa maonyo ya mara kwa mara kuhusu hatua zozote za kijeshi.
-
Ethiopia yavionya vyombo vya habari vya Magharibi kwa kueneza porojo
Nov 21, 2021 10:57Serikali ya Ethiopia imeyaandikia barua mashirika kadhaa ya habari ya Wamagharibi na kuyaonya vikali dhidi ya kuandika na kueneza habari za kipropaganda zinazoliakisi kwa hasi taifa hilo la Pembe ya Afrika.
-
Newsweek: Uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Shanghai umeibana Magharibi
Sep 30, 2021 06:28Jarida la kila wiki la Newsweek la nchini Marekani limeandika kuwa, uanachama wa kudumu wa Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai utazidi kuibana Magharibi katika kukabiliana na mradi wa nyuklia wa Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Wamagharibi hawana muamana, miradi ya Iran isifungamanishwe nao
Jul 28, 2021 11:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema mipango na miradi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipaswi kufungamanishwa na ushirikiano na nchi za Magharibi, kwani imedhihirika wazi wakati wa kipindi cha serikali inayomaliza muda wake hapa nchini kwamba, kuwategemea Wamagharibi hakuna faida yoyote.
-
Mazungumzo ya Vienna, maendeleo na changamoto zake
Apr 28, 2021 10:05Katika fremu ya utekelezaji wa hatua za kistratijia kwa ajili ya kufuta vikwazo vya kidhalimu na kulinda maslahi ya taifa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilichukua hatua za kulipiza kisasi ikijibu hatua ya Marekani na kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na vilevile hatua ya nchi za Ulaya ya kutotekeleza majukumu yao kwa mujibu wa makubaliano hayo.
-
Onyo lisilo na kifani la Putin kwa Wamagharibi kuhusu kuvuka mistari myekundu ya Russia
Apr 24, 2021 03:21Rais Vladimir Putin wa Russia amehutubu mbele ya wajumbe wa mabunge mawili ya nchi hiyo, Duma na Seneti, na magavana wa maeneo yote ya nchi hiyo ambapo ametoa onyo kali kwa nchi za Magharibi.
-
Zarif: Enzi za ukiritimba wa Wamagharibi duniani zimekwisha
Mar 30, 2021 03:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria juu ya kuimarika nafasi chanya ya mataifa ya Asia duniani na kueleza bayana kuwa, ukiritimba wa nchi za Magharibi katika uhusiano wa kimataifa umefikia ukingoni.
-
Zakharova: Moscow itachapisha nyaraka za kuhusika nchi za Magharibi katika machafuko ya Russia
Feb 12, 2021 02:41Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia amesema kuwa, nchi hiyo ina azma ya kuzitumia jumuiya za kimataifa nyaraka na ushahidi wa kuhusika nchi za Magharibi katika machafuko na maandamano haramu katika miji mbalimbali ya nchi.
-
Yemen; maabara ya silaha zilizopigwa marufuku za Magharibi
Nov 16, 2020 07:02Abdul-Qadir Antar, mshauri wa Waziri Mkuu wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa, nchi hiyo imegeuzwa kuwa maabara na mahapa pa kujaribia silaha zilizopigwa marufuku za Magharibi.