-
Kuongezeka mivutano baina ya Russia na Magharibi kuhusu tukio la Salisbury
Sep 07, 2018 20:54Kuzushwa upya madai ya kupewa sumu ya kemikali, jasusi Wa zamani wa Russia, Sergei Skripal, na binti yake katika mji wa Salisbury, wa kusini mwa Uingereza mwezi Machi 2018, kumezua mzozo na mivutano mikubwa baina ya nchi za Magharibi na Russia.
-
Bashar al Ja'far: Nchi za Magharibi na Umoja wa Mataifa zimesahahu kupambana na ugaidi
Jun 28, 2018 03:19Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa ametetea oparesheni zinazofanywa na jeshi la nchi yake dhidi ya magaidi kusini mwa nchi na kueleza kuwa nchi za Magharibi na Umoja wa Mataifa zimesahau kupambana dhidi ya ugaidi.
-
Matokeo mabaya ya siasa za Magharibi za kuunga mkono ugaidi na kubeba Ulaya hasara ya Euro bilioni 180
Jun 10, 2018 05:47Matokeo machungu ya siasa za Magharibi za kuunga mkono makundi ya kigaidi hususan katika eneo la Mashariki ya Kati, yameanza kuonekana pole pole hivi sasa.
-
Putin: Lengo la mashambulizi ya Magharibi lilikuwa kuwasaidia magaidi
Apr 25, 2018 09:32Rais wa Russia amelitaja shambulio la makombora la nchi za Magharibi huko Syria kuwa lilitekelezwa ili kuwasaidia magaidi.
-
Lavrov: Uhusiano wa Moscow na nchi za Magharibi ni mbaya zaidi kuliko ule wa kipindi cha Vita Baridi
Apr 16, 2018 22:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa mashambulizi yaliyofanywa na nchi kadhaa za Magharibi dhidi ya Syria yameharibu kabisa hali ya kuaminiana baina ya pande hizo mbili.
-
Lavrov: Uhusiano wetu na nchi za Magharibi ni mbaya zaidi kuliko kipindi cha vita baridi
Apr 02, 2018 21:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, hatua za Marekani na nchi za Magharibi, ndicho chanzo cha kuendelea kuzorota uhusiano kati ya mataifa hayo na Moscow.
-
Lavrov atoa onyo kali kwa nchi za Magharibi
Mar 28, 2018 02:20Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa Moscow haitanyamaza kimya mbele ya hatua ya nchi za Magharibi ya kuwafukuza wanadiplomasia wa nchi hiyo.
-
Sudan Kusini yapinga sera za Magharibi za kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo
Mar 06, 2018 13:46Serikali ya Sudan Kusini imepinga vikali sera za nchi za Magharibi za kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo na kutahadharisha kuwa, mashinikizo ya nchi hizo hayawezi kusaidia mwenendo wa kurejesha amani huko Sudan Kusini.
-
Rogozin: Russia ipo tayari kukabiliana na vikwazo
Feb 26, 2018 10:27Naibu Waziri Mkuu wa Russia amesema kuwa Moscow ipo tayari kukabiliana na vikwazo vya Magharibi.
-
Russia yazionya nchi za Magharibi zisijaribu kuingilia uchaguzi wa rais wa nchi hiyo
Feb 16, 2018 04:08Serikali ya Russia imeyaonya madola ya Magharibi kutoingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo hususan katika uchaguzi wa rais.