-
Rais wa Syria akosoa misimamo ya kindumakuwili ya Magharibi
Jun 30, 2016 13:04Rais wa Syria amezikosoa nchi za Magharibi kwa kutekeleza siasa za kindumakuwili kuhusu nchi yake.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwa Magharibi kutekeleza ahadi zake kuhusiana na JCPOA
May 23, 2016 03:30Katika miezi na wiki za hivi karibuni, Tehran imekuwa mwenyeji wa jumbe za kisiasa na kiuchumi kutoka nchi mbalimbali za Ulaya, Asia na Afrika. Katika safari hizo yamesainiwa makubaliano kadhaa katika nyanja za kiuchumi na uwekezaji wa pamoja katika kipindi hiki cha baada ya kufikiwa makubaliano ya nyuklia yajulikanao kama JCPOA.
-
Rais wa Syria: Magharibi inataka urafiki na nchi zisizo na uhuru wa kujiamulia
May 19, 2016 15:52Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema inachotaka Magharibi ni kuwa na urafiki na nchi zisizo na uhuru wa kujiamulia wala wa kujitawala.
-
Zarif: Shughuli za uundaji makombora ni moja ya mifano ya uwezo wa kiulinzi
Mar 15, 2016 03:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza katika radiamali yake kwa madai ya Magharibi dhidi ya majaribio ya makombora ya hivi karibuni kuwa shughuli za uundaji makombora ni moja ya mifano ya uwezo wa kiulinzi ambao Iran unahitajia.
-
NATO kupanua operesheni za kukabiliana na wakimbizi
Mar 07, 2016 16:16Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO, Jens Stoltenberg amesema kuwa jumuiya hiyo itapanua zaidi operesheni zake katika maji ya karibu na nchi za Ugiriki na Uturuki ili kuzuia wimbi la wahamiaji haramu kuelekea katika nchi za Magharibi.
-
Amnesty International: Magharibi ndiyo inayobeba dhima ya machafuko duniani
Feb 16, 2016 01:09Shirika la Msamaha Duniani limesisitiza kuwa, uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu unaotokea katika kona mbalimbali za dunia unafanyika kwa msaada wa silaha za nchi za Magharibi na kwamba Magharibi ndiyo inayopaswa kubeba ya dhima ya machafuko yote hayo.