-
Kwa nini msimamo wa Umoja wa Nchi za Kiislamu dhidi ya mpango wa "Israel Kubwa" ni hatua ya kukabiliana na kujitanua kwa utawala wa Kizayuni?
Aug 18, 2025 02:54Katika radiamali ambayo haijawahi kushuhudiwa tena huko nyuma, nchi 31 za Kiislamu zimetoa taarifa ya pamoja zikilaani mpango wa Benjamin Netanyahu wa kuunda "Israeli Kubwa" na huku zikitahadharisha kuhusu hatari ya sera hiyo ya kupenda kujitanua, zimeutaja mpango huo kuwa tishio kwa usalama wa eneo, ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na hatua ya kuchochea ghasia na ukosefu wa amani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Ben-Gvir: Israel imegeuzwa kuwa 'kioja' Mashariki ya Kati
Feb 10, 2025 11:25Aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani wa Israel, Itamar Ben-Gvir amesema utawala huo wa Kizayuni umekuwa kioja na kichekesho katika eneo la Asia Magharibi.
-
Baada ya Israel kuichoma moto hospitali kuu ya kaskazini ya Ghaza, yamkamata mkurugenzi na wafanyakazi wake
Dec 28, 2024 14:12Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa askari wa jeshi la utawala w Kizayuni wa Israel wamemkamata Hussam Abu Safiya, Mkurugenzi wa Hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Ghaza, na wafanyakazi wengine mapema leo, siku moja baada ya askari wa jeshi hilo kuichoma moto hospitali hiyo, ambayo ndicho kituo kikuu pekee cha afya katika eneo hilo.
-
Iran yaitaka Ukraine iache kuwaunga mkono na kuwasaidia magaidi eneo la Asia Magharibi
Dec 07, 2024 02:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeitaka Ukraine iache kuunga mkono magaidi katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iran yakaribisha kusitishwa vita Lebanon, yasisitiza kuwaunga mkono wananchi na Hizbullah
Nov 27, 2024 12:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekaribisha makubaliano ya usitishaji vita kati ya Hizbullah na Israel, na kusisitizia uungaji mkono thabiti wa Jamhuri ya Kiislamu kwa serikali ya Lebanon, wananchi na harakati yake ya Muqawama.
-
Marekani yajipanga kutuma idadi kubwa zaidi ya wanajeshi na zana za kivita Asia Magharibi
Nov 02, 2024 06:33Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imetangaza mpango wa kutumwa wanajeshi zaidi wa nchi hiyo katika eneo la Asia Magharibi.
-
Sisitizo la Joe Biden la kudumisha uwepo wa kijeshi wa Marekani Asia Magharibi
Oct 16, 2024 13:30White House ilitangaza siku ya Jumanne kwamba, Rais Joe Biden wa Marekani ameiandikia barua Congress ya nchi hiyo akiifahamisha kwamba vikosi vya Marekani vitaendelea kubakia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) kwa kuhofia jibu la Iran kwa chokochoko za utawala wa Kizayuni.
-
Katika Siku ya Afya ya Akili Duniani, Katibu Mkuu wa UN asema: Hakuna afya bora bila afya ya akili
Oct 11, 2024 07:31Siku ya Afya ya Akili Duniani imeadhimishwa Oktoba 10 huku ikiripotiwa kuwa, mtu mmoja kati ya wanane duniani ana tatizo la afya ya akili.
-
Iran: Hatutaruhusu Israel ichochee moto wa vita Asia Magharibi
Aug 11, 2024 07:35Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inafanya hima kuzuia utawala wa Kizayuni wa Israel utimize ndoto yake ya kuwasha na kuchochea moto wa vita vya pande zote katika eneo la Asia Magharibi.
-
Ali Bagheri Kani: Uhusiano imara miongoni mwa nchi jirani utapelekea kufurushwa nchi vamizi Asia Magharibi
May 28, 2024 07:49Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa uhusiano imara miongoni mwa nchi jirani za kanda hii ni njia pekee ya kuzifurusha nchi vamizi katika eneo la Asia Magharibi.