-
Iran: Hatutaruhusu Israel ichochee moto wa vita Asia Magharibi
Aug 11, 2024 07:35Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inafanya hima kuzuia utawala wa Kizayuni wa Israel utimize ndoto yake ya kuwasha na kuchochea moto wa vita vya pande zote katika eneo la Asia Magharibi.
-
Ali Bagheri Kani: Uhusiano imara miongoni mwa nchi jirani utapelekea kufurushwa nchi vamizi Asia Magharibi
May 28, 2024 07:49Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa uhusiano imara miongoni mwa nchi jirani za kanda hii ni njia pekee ya kuzifurusha nchi vamizi katika eneo la Asia Magharibi.
-
AFC yataka FIFA iifutie uanachama Israel kutokana na jinai zake Gaza
May 16, 2024 12:21Shirikisho la Soka Asia (AFC) limetangaza kuunga mkono ombi la Palestina la kulitaka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) liifutie uanachama Israel katika taasisi hiyo kubwa zaidi ya kandanda duniani, kutokana na utawala huo wa Kizayuni kutenda jinai kubwa dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Abdollahian: Kusitisha jinai za Israel ndiyo njia pekee ya kurejesha uthabiti Asia Magharibi
Feb 02, 2024 07:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema njia pekee ya kurejesha uthabiti katika eneo la Asia Magharibi ni kukomesha jinai za utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
China: Magharibi ya Asia si eneo la kujifaragua dola kubwa lolote lile duniani
Aug 30, 2023 13:22Waziri wa Mambo ya Nje wa China amesisitiza kuwa Magharibi ya Asia si eneo la kujifaragua dola kubwa lolote lile duniani. Wang Yi ametoa sisitizo hilo katika kikao na Adel al-Asoumi, Spika wa Bunge la Waarabu mjini Beijing, na kubainisha kwamba Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) haijawahi katu kuwa eneo la faragha na kujifaragua kwa dola kubwa lolote lile; na mustakabali na hatima ya eneo lazima iamuliwe na nchi na watu wa eneo hilo.
-
"Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu"; sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kufeli sera za Marekani Asia Magharibi
Apr 18, 2023 12:47Tarehe 5 Aprili Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika kikao chake na viongozi na maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Nchi za Asia Kusini zapania kuachana na matumizi ya dola, yuro
Mar 30, 2023 02:14Jumuiya ya Nchi za Kusini Mashariki mwa Asia (ASEAN) inatazamiwa kujadili mpango wa kuachana na matumizi ya sarafu ya dola ya Marekani na yuro ya Ulaya katika miamala yao ya kibiashara.
-
Marekani imeanzisha vita 400, robo barani Afrika na Asia Magharibi
Aug 13, 2022 11:21Utafiti mpya umefichua kuwa, zaidi ya robo ya vita vilivyoanzishwa na Washington katika historia ya Marekani vimefanyika katika nchi za Afrika na eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
-
IRGC: Wakati wa Marekani kuweko Asia Magharibi umefikia tamati
Aug 05, 2022 11:01Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema wakati umefika wa kuondoka Marekani katika eneo la Asia Magharibi kutokana na kupoteza kwake udhibiti na ushawishi katika eneo hili.
-
Hivi ndivyo Asia Magharibi ilivyotia kasi kuporomoka nguvu na ushawishi wa Marekani
Aug 04, 2022 02:22Ni jambo lisilo na chembe ya shaka kwamba, Asia Magharibi ni eneo la ushawishi wa jadi wa Marekani. Nchi hiyo ya kibeberu imejiimarisha mno kijeshi kenye eneo hili na ina ushawishi katika matukio ya kiusalama ya nchi waitifaki wake za Asia Magharibi.