-
Asilimia 43 ya silaha za Marekani zinauzwa kwa nchi za eneo la Asia Magharibi
Jun 21, 2022 13:33Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm SIPRI imetangaza kuwa hadi mwishoni mwa mwaka 2021, kiwango kikubwa cha silaha zinazotengenezwa Marekani imeuzwa kwa nchi za eneo la Asia Magharibi.
-
Indhari ya Antonio Guterres kuhusu ukimbizi; Asia Magharibi kitovu cha mgogoro
May 26, 2022 03:53Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali mwenendo wa kulazimika watu wa mataifa mbalimbali kuyakimbia makazi yao na kuutaja ukimbizi kuwa ni mgogoro wa kisiasa.
-
Kuuliwa shahidi Qasem Soleiman na kasi ya kuporomoka nafasi ya Marekani eneo la Asia Magharibi
Jan 03, 2022 11:16Leo tarehe 3 Januari 2022, inasadifiana na kumbukumbu ya mwaka wa pili wa mauaji ya Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyofanywa na serikali ya Marekani.
-
Dalili za kupungua nafasi ya Marekani Asia Magharibi
Nov 06, 2021 03:26Tarehe 4 Novemba imetengwa katika kalenda ya Iran kuwa siku ya mapambano dhidi ya uistikabari wa dunia (ubeberu/ujeuri)
-
Matukio ya Afghanistan; sisitizo la umuhimu wa muqawama katika eneo la Asia Magharibi
Aug 28, 2021 02:37Matukio ya majuma mawili ya hivi karibuni nchini Afghanistan yameonyesha kuwa, makundi ya mapambano na muqawama katika eneo la Asia Magharibi yana nafasi muhimu katika kulinda mamlaka ya kujitawala pamoja na usalama wa mataifa yao.
-
Qatar yaishukuru Iran; sisitizo la nafasi chanya ya Iran katika kuleta uthabiti na amani katika eneo
Jan 29, 2021 09:33Huku akisisitiza kuwa uhusiano wa Qatar na nchi mbili za Iran na Uturuki ni mzuri sana, Lolwah al Khater, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amezishukuru nchi hizo kwa kuwa pembeni ya taifa hilo wakati ilipokuwa chini ya mgogoro mkubwa wa kuzingirwa na majirani zake.
-
2020; ulikuwa mwaka mweusi kwa raia katika eneo la Asia Magharibi
Jan 08, 2021 02:40Mwaka 2020 umemalizika hivi majuzi, lakini tukitupia jicho kwa haraka haraka matukio yaliyogonga vichwa vya habari katika mwaka huo tunaona kuwa, wananchi wa eneo la Asia Magharibi walikuwa wahanga wakuu wa matukio yaliyoshuhudiwa katika eneo hili.
-
Nidhamu ya kisiasa na kiusalama ya Asia Magharibi 2020 na muelekeo tarajiwa wa 2021
Jan 02, 2021 01:38Baada ya kumalizika mwaka 2020 na kuanza mwaka mpya wa 2021 suali linaloulizwa ni, nidhamu ya kisiasa na kiusalama ya eneo la Asia Magharibi katika mwaka uliopita ilikuwaje; na muelekeo tarajiwa wa hali ya eneo hili katika mwaka huu wa 2021 utakuwa upi?
-
Madai ya kukaririwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kinyume cha ukweli wa mambo
Oct 23, 2020 07:49Anwar Gargash Waziri Mshauri wa Mambo ya Nje katika Umoja wa Falme za Kiarabu ametuma ujumbe kupitia ukurasa wake wa Twitter na kudai kuwa, Iran inavuruga uthabiti katika eneo la Asia Magharibi.
-
Zarif: Eneo la Ghuba ya Uajemi lichague ama amani au ukosefu wa uthabiti
Oct 22, 2020 07:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema eneo la Ghuba ya Uajemi sharti likhitari moja kati ya mambo mawili, ama amani au ukosefu wa uthabiti.