-
Sababu za kufifia matukio ya Asia Magharibi katika mkutano wa 75 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Sep 24, 2020 02:41Mkutano wa 75 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaendelea kufanyika mwaka huu katika hali ambayo, matukio ya eneo la Asia Magharibi yamefifia na kutoakisiwa sana katika hotuba za viongozi waliohutubia katika siku ya kwanza ya mkutano huo.
-
Vurugu na machafuko Asia Magharibi; natija ya sera za Marekani
Sep 21, 2020 02:26Marekani kwa mara nyingine tena imetoa taarifa ikiituhumu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba, eti inazusha vurugu na machafuko katika eneo la Asia Magharibi.
-
Zarif aushangaa uchu wa Pompeo wa kurundika silaha za US Asia Magharibi
Aug 25, 2020 08:06Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkosoa vikali Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kwa kuvunja sheria za nchi hiyo ili kukidhi uchu wake wa kutaka kuuza silaha za kijeshi kwa wingi katika nchi za eneo la Asia Magharibi.
-
Trump: Kuingilia masuala ya magharibi mwa Asia ni kosa kubwa la kihistoria
Aug 04, 2020 11:21Rais wa Marekani amekiri kuwa kitendo cha kuingilia masuala ya eneo la magharibi mwa Asia lilikuwa kosa kubwa katika historia ya nchi hiyo.
-
Hizbullah: Marekani inabeba dhima ya matatizo yote ya Asia Magharibi
Jul 12, 2020 07:49Mkuu wa Baraza la Shuraa la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ndiyo sababu ya kupata matatizo nchi za eneo hili la Asia Magharibi.
-
Trump akiri Marekani inatumia gharama kubwa isiyo na faida yoyote Asia Magharibi
Apr 23, 2020 02:43Baada ya mashambulizi ya Septemba 11, 2001 Marekani kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi, ilielekeza majeshi yake katika eneo la Asia Magharibi.
-
Virusi vya Corona na propaganda chafu dhidi ya Iran na Asia magharibi
Feb 28, 2020 01:16Virusi vya Corona vimeenea katika zaidi ya nchi 40 duniani zikiwemo nchi za Kiarabu za magharibi mwa Asia. Hata hivyo baadhi ya nchi zimeanzisha wimbi kubwa la propaganda na kutumia virusi vya Corona kama wenzo wa kilipiza kisasi kisiasa dhidi ya Iran.
-
Rouhani: Watu wa Asia Magharibi watakabiliana na dhulma za Marekani
Jan 28, 2020 11:51Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema wananchi wa nchi za eneo la Asia Magharibi watakabiliana na dhulma na ubeberu wa Marekani.
-
Rais Rouhani: Marekani, chanzo cha shari zote Asia Magharibi
Jan 19, 2020 03:27Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani ndiyo chanzo cha vitendo vyote vya shari, migogoro na matatizo katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Ukosoaji wa Russia dhidi ya njama za Marekani za kubadili mlingano wa nguvu Asia Magharibi na kuongeza vitisho vya usalama kimataifa
Jan 05, 2020 13:21Hatua za Marekani katika eneo la Asia Magharibi hususan za kuzidisha uwepo wake kijeshi, mashinikizo dhidi ya Iran na hatimaye kutekeleza hatua za kigaidi hasa za kumuua shahidi Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la IRGC, Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Shaabi, Abu Mahdi al Muhandes na shakhsia wengine walioambatana nao, zimekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa Russia kama mmoja wa wacheza karata muhimu katika eneo hili.