-
Virusi vya Corona na propaganda chafu dhidi ya Iran na Asia magharibi
Feb 28, 2020 01:16Virusi vya Corona vimeenea katika zaidi ya nchi 40 duniani zikiwemo nchi za Kiarabu za magharibi mwa Asia. Hata hivyo baadhi ya nchi zimeanzisha wimbi kubwa la propaganda na kutumia virusi vya Corona kama wenzo wa kilipiza kisasi kisiasa dhidi ya Iran.
-
Rouhani: Watu wa Asia Magharibi watakabiliana na dhulma za Marekani
Jan 28, 2020 11:51Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema wananchi wa nchi za eneo la Asia Magharibi watakabiliana na dhulma na ubeberu wa Marekani.
-
Rais Rouhani: Marekani, chanzo cha shari zote Asia Magharibi
Jan 19, 2020 03:27Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani ndiyo chanzo cha vitendo vyote vya shari, migogoro na matatizo katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Ukosoaji wa Russia dhidi ya njama za Marekani za kubadili mlingano wa nguvu Asia Magharibi na kuongeza vitisho vya usalama kimataifa
Jan 05, 2020 13:21Hatua za Marekani katika eneo la Asia Magharibi hususan za kuzidisha uwepo wake kijeshi, mashinikizo dhidi ya Iran na hatimaye kutekeleza hatua za kigaidi hasa za kumuua shahidi Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la IRGC, Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Shaabi, Abu Mahdi al Muhandes na shakhsia wengine walioambatana nao, zimekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa Russia kama mmoja wa wacheza karata muhimu katika eneo hili.
-
Iran yaitaka Marekani iachane na sera zake haribifu katika eneo
Jan 01, 2020 08:07Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya Marekani juu ya matokeo mabaya ya hatua zake haribifu na zisizo na mantiki katika eneo la Asia Magharibi.
-
Sisitizo la jeshi la Marekani la kuendelea kuwepo kijeshi katika eneo la Asia Magharibi
Nov 12, 2019 02:56Licha ya Rais Donald Trump kukariri mara chungu nzima kwamba, Washington itaondoa wanajeshi wake katika eneo la Asia Magharibi hususan katika nchi za Syria na Afghnaistan, lakini hali ya mambo ilivyo inaonyesha kuwa, Marekani imeazimia kubakisha na hata kuongeza idadi ya wanajeshi wake pamoja na zana za kijeshi katika eneo hili ikiwa ni katika kusukuma mbele gurudumu la siasa zake za kibabe.
-
Madai ya upotoshaji ya Trump kwamba Asia Magharibi imestawishwa na Marekani
Oct 27, 2019 08:14Baada ya mashambulizi ya Septemba 11, 2001 na kupitia kisingizio cha kupambana na ugaidi, Marekani ilianzisha hujuma zake dhidi ya eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ambapo mwaka 2001 Washington iliivamia kijeshi Afghanistan, huku mwaka 2003 ikiishambulia Iraq.
-
Mkataba wa kiusalama wa kieneo; hitajio la Ukanda wa Asia Magharibi
Oct 15, 2019 09:39Kuendelea kushuhudiwa vita na ukosefu wa amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi, kumepelekea kuongezeka mapendekezo ya kuweko mkataba wa kiusalama wa kieneo.
-
Russia: Marekani iache kuibua mizozo Asia Magharibi
Sep 21, 2019 03:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, amekosoa hatua za Marekani za kuibua mizozo eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati.)
-
Katika mtazamo wa Kansela wa Ujerumani; Mwarubaini wa kupunguza mivutano Magharibi ya Asia ni kurejea kwenye JCPOA
Sep 18, 2019 11:55Kwa mtazamo wa Umoja wa Ulaya na Troika ya umoja huo inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza, makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yana mchango muhimu sana katika kulinda amani na usalama katika eneo la Magharibi ya Asia na katika uga wa kimataifa. Kwa mtazamo wa nchi za Ulaya, kujitoa Marekani katika JCPOA kumekuwa chanzo cha kujitokeza mivutano na hali ya wasiwasi katika Ghuba ya Uajemi na Magharibi ya Asia.