-
Uturuki kutuma jeshi Afrika Magharibi baada ya meli yake kutekwa nyara
Jan 25, 2021 07:43Maharamia wameshambulia meli ya mizigo ya Uturuki katika pwani ya Afrika Magharibi na kuwateka nyara mabaharia 15 na kuua mmoja huku serikali ya Uturuki ikitangaza kuwa itatuma jeshi kuwanusuru mabaharia hao.
-
Maharamia wa Somalia wateka nyara meli ili kuitumia kuendeshea mashambulizi
Mar 24, 2017 15:20Maharamia wameteka nyara meli moja ya uvuvi ya Somalia ili kuitumia kama kituo cha kuendeshea mashambulizi dhidi ya meli kubwa. Hayo yameelezwa leo na polisi ya Somalia wiki moja baada ya maharamia wa nchi hiyo kuteka nyara meli ya kwanza ya kibiashara tangu mwaka 2012.
-
Jeshi la majini la Iran lawatimua maharamia wa Somalia
Feb 13, 2017 15:18Maharamu kutoka Somalia waliojaribu kuteka nyara meli ya mizigo ya Iran wametimuliwa na manwoari za Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Meli za Kivita za Iran zazuia hujuma ya maharamia Bab el-Mandeb
Jul 03, 2016 03:29Meli za kivita za Iran zimefanikiwa kuzuia shambulio kubwa la maharamia ambao walikuwa wanalenga kuiteka meli ya kibiashara ya Iran katika Lango la Bahari la Bab el Mandeb katika Pembe ya Afrika.