-
Mamilioni ya wafuasi wa Ahlul-Bayt (as) washiriki maombolezo ya Ashura
Jul 16, 2024 11:37Mamilioni ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia leo wameshiriki katika maombolezo ya kumbukumbu ya Ashura ya kukumbuka siku ya kuuliwa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (a.s).
-
Kiongozi Muadhamu ashiriki maombolezo ya kuuawa shahidi Imam Ridha AS
Oct 07, 2021 12:11Maombolezo ya kukumbuka mwaka alipouawa shahidi Imam Ali bin Musa al Ridha AS, Imam wa Nane wa Waislamu wa Kishia duniani yamefanyika katika Husainia ya Imam Khomeini MA hapa mjini Tehran na kuhudhuriwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Watu kadhaa wauawa katika maombolezo ya siku ya Ashura nchini Nigeria
Sep 10, 2019 14:37Waislamu kadhaa waliokuwa katika maombolezo ya Siku ya Ashura (tarehe 10 Muharram) wakikumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) wameuawa leo kwa kupigwa risasi nchini Nigeria.
-
Waislamu wakumbuka kufa shahidi kwa Bibi Fatima al Zahra (as)
Feb 09, 2019 17:17Mamilioni ya Waislamu nchini Iran na nchi nyingine kadhaa duniani leo wameshiriki katika vikao na majlisi za kukumbuka siku ya kufa shahidi binti kipenzi wa Mtume wetu Muhammad (saw), Bibi Fatumatu Zahra (as).