-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu asisitiza ulazima wa kuwepo umoja wa kitaifa na kukabiliana na mikakati ya adui
Feb 09, 2023 07:18Umoja wa kitaifa na umoja wa jamii una nafasi maalum kwa watu wa kila nchi. Bila kuwepo umoja wa kitaifa, uhai wa nchi na taifa hauwezi kupatikana. Umoja wa kitaifa unamaanisha umoja wa taifa kubwa na lenye fahari la Iran ambao ni siri ya ushindi wa taifa hili na sababu ya kuimarishwa jamii.
-
Rais Raisi: Licha ya fitna na njama zote, Mapinduzi ya Kiislamu yamezidi kudhihirika duniani
Jan 31, 2023 08:19Rais Ebrahim Raisi amesema: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran chini ya uongozi wa Imam Khomeini (MA) yamedumu licha ya fitna na njama zote za adui na yamezidi kudhihirika duniani.
-
"Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ulibadilisha mlingano wa nguvu duniani"
Nov 25, 2022 23:28Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya jana hapa Tehran amesema Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ulibadilisha kabisa mlingano wa nguvu kieneo na kimataifa.
-
Ayatullah Khatami: Mustakabali wa Mapinduzi ya Kiislamu unazidi kung'aa
Oct 21, 2022 09:22Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema mustakabali wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hii leo umeng'ara zaidi kuliko wakati wowote ule.
-
Ushujaa wa vijana wa Palestina, Yemen ni matunda ya Mapinduzi ya Kiislamu
Aug 07, 2022 22:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani jinai zinazofanywa na Wazayuni katika Ukanda wa Gaza, amesema ushujaa wa vijana wa Palestina na Yemen ni muendelezo wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mjukuu wa Mandela: Mapinduzi ya Kiislamu yameipa ilhamu Afrika Kusini
Aug 03, 2022 08:02Mjukuu wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanatoa ilhamu na motisha kwa taifa hilo la kusini mwa Afrika.
-
Fikra za Imam Khomeini (MA); ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuanza mwamko wa Kiislamu
Jun 04, 2022 04:35Fikra za Imam Khomeini MA za kupambana na ubeberu, mbali na kupelekea kupata ushindi Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, zimepelekea pia kupatikana mwamko wa Kiislamu katika eneo hili zima na duniani kwa ujumla.
-
Khatibzadeh: Mapinduzi ya Kiislamu yameutambulisha kwa ulimwengu utawala wa kidini unaotokana na ridhaa ya wananchi
May 19, 2022 08:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu amesema, Mapinduzi ya Kiislamu yameutambulisha duniani utawala wa kidini unaotokana na ridhaa ya wananchi.
-
Rais wa Senegal alipongeza taifa la Iran kwa maadhimisho ya Siku ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2022 03:25Rais wa Senegal ametoa mkono wa baraka na fanaka kwa serikali na taifa la Iran kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Ebrahim Raisi: Iran bado imeshikamana na nara ya "Si Mashariki si Magharibi"
Feb 11, 2022 07:09Rais Ebrahim Raisi amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado imeshikamana na nara yake ya "Si Mashariki, si Magharibi" ya tangu mwaka 1979.