Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza: Mfumo wa Marekani ni kinyume na haki za binadamu

    Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza: Mfumo wa Marekani ni kinyume na haki za binadamu

    Jun 29, 2022 21:49

    Mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu nchini Uingereza (IHRC) amesema kuwa mfumo wa utawala wa Marekani unapinga na kupiga vita haki za binadamu na kusisitiza kuwa, mfumo huo unawadhulumu hata raia wa Marekani kwenyewe.

  • Gharib Abadi: Iran ni mhanga mkubwa wa ugaidi duniani

    Gharib Abadi: Iran ni mhanga mkubwa wa ugaidi duniani

    Jun 29, 2022 03:29

    Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Idara ya Mahakama ya Iran amesema, zaidi ya watu elfu 25 nchini Iran wamepoteza maisha kutokana na vitendo vya kigaidi; ambapo uungaji mkono wa Marekani kwa jinai zote hizo unashuhudiwa.

  • Juhudi za G7 za kukabiliana kiuchumi na China

    Juhudi za G7 za kukabiliana kiuchumi na China

    Jun 28, 2022 21:48

    Viongozi wa mataifa saba yaliyoendelea kiviwanda, G7, wameafiki kuzindua mpango kabambe wa kuwekeza katika miundo msingi kwenye nchi zinazoendelea. Viongozi hao wametangaza kuwa, nchi za G7 zinakusudia kutenga dola bilioni 600 kwa ajili ya mpango huo ifikapo 2027.

  • Gavana wa Texas: Biden ndiye wa kulaumiwa kwa

    Gavana wa Texas: Biden ndiye wa kulaumiwa kwa "janga la kutisha la wahajiri" nchini Marekani

    Jun 28, 2022 05:26

    Gavana wa Texas nchini Marekani amemlaumu Rais Joe Biden wa nchi hiyo kuwa ndiye wa kulaumiwa kwa vifo vya makumi ya wahajiri ambao miili yao imepatikana ikiwa imetelekezwa katika lori kwenye jimbo hilo.

  • Sakata; Biden ametumia fedha nyingi kugharamia ufuska wa kijana wake

    Sakata; Biden ametumia fedha nyingi kugharamia ufuska wa kijana wake

    Jun 28, 2022 03:29

    Gazeti la Washington Examiner limefichua kashfa ya ufuska inayoizunguka familia ya Rais Joe Biden wa Marekani, ambapo kiongozi huyo wa Marekani anaripotiwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya kugharamia ufuska wa mtoto wake wa kiume, Hunter Biden.

  • Maiti 46 zapatikana ndani ya lori jimboni Texas, Marekani

    Maiti 46 zapatikana ndani ya lori jimboni Texas, Marekani

    Jun 28, 2022 03:25

    Miili 46 imepatikana ndani ya lori lililokuwa limeegeshwa karibu na kambi ya kijeshi ya Lackland jijini San Antonio, katika jimbo la Texas nchini Marekani.

  • Indhari ya Waziri wa Usalama wa Iran: Magaidi hawatabakia salama

    Indhari ya Waziri wa Usalama wa Iran: Magaidi hawatabakia salama

    Jun 27, 2022 22:15

    Waziri wa Usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema magaidi wenye makao yao Albania hawatabakia salama kutokana na moto wa ulipizaji kisasi wa jinai walizotenda.

  • 75% ya Wamarekani wakatishwa tamaa na uchumi mbaya wa nchi yao

    75% ya Wamarekani wakatishwa tamaa na uchumi mbaya wa nchi yao

    Jun 27, 2022 06:53

    Aghalabu ya wananchi wa Marekani wamekatishwa tamaa na hali mbaya ya uchumi wa nchi hiyo.

  • New York Times yafichua shughuli za siri za CIA na kikosi maalumu cha Marekani  Ukraine

    New York Times yafichua shughuli za siri za CIA na kikosi maalumu cha Marekani Ukraine

    Jun 26, 2022 23:28

    Gazeti la New York Times linalochapishwa nchini Marekani limefichua kuhusu harakati za siri zinazofanywa na Shirika la Kijasusi la Marekani (CIA) na kikosi maalumu cha wanajeshi wa nchi hiyo huko Ukraine.

  • Marekani yaondoa baadhi ya masharti ya kuwasajili vijana jeshini

    Marekani yaondoa baadhi ya masharti ya kuwasajili vijana jeshini

    Jun 26, 2022 06:47

    Jeshi la Marekani limefuta baadhi ya vigezo na masharti ya kusajili vijana jeshini, huku nchi hiyo ikikabiliwana na mgogoro mkubwa wa vijana wengi kukataa kujiunga na vikosi hivyo vya ulinzi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS