Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Faisal Miqdad: Marekani na nchi za Magharibi zinafanya njama za kuangamiza suala la Palestina

    Faisal Miqdad: Marekani na nchi za Magharibi zinafanya njama za kuangamiza suala la Palestina

    Apr 22, 2022 02:40

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa, nchi za Magharibi zinaendelea kula njama za kuvuruga na kuharibu kadhia ya ukombozi wa Palestina na haki thabiti za watu wake, hususan haki ya wakimbizi wa Kipalestina kurejea katika nchi yao na kuongeza kuwa, Damascus inafuatilia kwa wasiwas matukio hatari yanayojiri huko Quds ( Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.

  • Russia yakosoa juhudi za Magharibi za kurefusha vita vya Ukraine

    Russia yakosoa juhudi za Magharibi za kurefusha vita vya Ukraine

    Apr 21, 2022 04:41

    Waziri wa Ulinzi wa Russia, Sergei Shoigu amesema kwamba Marekani na nchi nyingine za Magharibi zimefanya jitihada kubwa za kurefusha muda wa operesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine.

  • Kukosolewa unafiki wa Marekani kuhusu suala la haki za binadamu

    Kukosolewa unafiki wa Marekani kuhusu suala la haki za binadamu

    Apr 20, 2022 22:20

    Ilhan Omar, mbunge wa Kiislamu katika Congress ya Marekani amesema kuwa madai yanayotolewa na utawala wa Wadhington kuhusu haki za binadamu duniani ni ya kinafiki, na kusisitiza kuwa kama nchi hiyo inataka kuishtaka Russia katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusiana na tuhuma zinazotolewa dhidi yake kuhusu vita vya Ukraine, inapasa kwanza yenyewe ijiunge na kuwa mwanachama wa mahakama hiyo.

  • Wanafunzi Waislamu Marekani wahanga wa vitendo vya udhalilishaji na unyanyasaji mashuleni

    Wanafunzi Waislamu Marekani wahanga wa vitendo vya udhalilishaji na unyanyasaji mashuleni

    Apr 17, 2022 21:58

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni yanaonyesha kuwa, zaidi ya nusu ya wanafunzi Waislamu katika skuli za jimbo la California nchini Marekani wanakabiliwa na vitendo vya ubaguzi wanavyofanyiwa na wanafunzi wakubwa kwa wadogo wakiwemo walimu.

  • Mwito wa Wademokrati wa kutaka kuangaliwa upya uhusiano wa Marekani na Saudia

    Mwito wa Wademokrati wa kutaka kuangaliwa upya uhusiano wa Marekani na Saudia

    Apr 15, 2022 21:52

    Wakuu wa Kamati za Masuala ya Kigeni na ya Ujasusi za Baraza la Wawakilishi la Marekani pamoja na zaidi ya wabunge 20 wa chama tawala cha Democrat wameitaka serikali ya Joe Biden kuchukua misimamo mikali dhidi ya Saudi Arabia hasa baada ya Riyadh kukataa kushirikiana na Washington dhidi ya Russia.

  • Tukio la karibuni la ufyatuaji risasi nchini Marekani; kuendelea vurugu, hofu na ukatili

    Tukio la karibuni la ufyatuaji risasi nchini Marekani; kuendelea vurugu, hofu na ukatili

    Apr 14, 2022 05:23

    Vurugu zinazotokana na uhuru wa kubeba silaha na mauaji ya kikatili zinaendelea nchini Marekani, ambapo hivi karibuni watu 29 walijeruhiwa kwa risasi, baadhi yao wakiwa katika hali mbaya, zilizofyatuliwa Jumanne asubuhi katika kituo cha njia ya treni ya chini kwa chini huko Brooklyn mjini New York.

  • Kiongozi Muadhamu: Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umeyavutia mataifa mengi duniani

    Kiongozi Muadhamu: Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umeyavutia mataifa mengi duniani

    Apr 12, 2022 23:38

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema changamoto zote zinazolikabili taifa hili zinaweza kupatiwa ufumbuzi na kusisitiza kuwa, Mfumo wa Uongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umepata mafanikio mengi katika sekta tofauti na kuwa kivutio kikubwa kwa mataifa mengi duniani.

  • Lavrov: Lengo la operesheni maalumu ya Russia nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani

    Lavrov: Lengo la operesheni maalumu ya Russia nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani

    Apr 12, 2022 03:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema lengo la operesheni maalumu ya Moscow nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani.

  • Ripoti: China inaimarisha silaha za nyuklia kukabiliana na tishio la Marekani

    Ripoti: China inaimarisha silaha za nyuklia kukabiliana na tishio la Marekani

    Apr 11, 2022 22:23

    Imedokezwa kuwa China imeongeza kasi ya upanuaji wa silaha zake za nyuklia baada ya tathmini mpya kuhusu tishio la Marekani kwa nchi hiyo.

  • Khatibzadeh: Marekani bado haijaonyesha nia ya kufikia makubaliano

    Khatibzadeh: Marekani bado haijaonyesha nia ya kufikia makubaliano

    Apr 11, 2022 03:48

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa, Marekani bado haijaonyesha nia ya kutosha ya kufikia makubaliano katika mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea huko Vienna nchini Austria na kuongeza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiathiriwi na kampeni za vyombo vya habari na matamshi yanayokinzana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS