Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Hizbullah: Vikwazo vya Marekani haviathiri mapambano ya Walebanon

    Hizbullah: Vikwazo vya Marekani haviathiri mapambano ya Walebanon

    Mar 05, 2022 10:46

    Mbunge wa harakati ya Hizbullah katika Bunge la Lebanon amesema vikwazo vya Marekani havina taathira yoyote katika mapambano ya Kiislamu au muqawama na kuongeza kuwa, Hizbullah ina njia mbalimbali za kusimama kidete na kukabiliana na mashinikizo ya maadui.

  • Khatibu ya Swala ya Ijumaa: Marekani imehusika na yanayoendelea Ukraine

    Khatibu ya Swala ya Ijumaa: Marekani imehusika na yanayoendelea Ukraine

    Mar 04, 2022 09:00

    Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehrah amekosoa vikali mienendo ghalati ya Marekani katika medani ya kimataifa na kusisitiza kuwa, US ni nembo ya ujahili mamboleo.

  • Maelfu ya Wamarekani wajisajili kwenda kupigana Ukraine

    Maelfu ya Wamarekani wajisajili kwenda kupigana Ukraine

    Mar 04, 2022 08:44

    Maelfu ya wananchi wa Marekani wameuandikia barua ubalozi wa Ukraine mjini Washington wakiomba kuruhusiwa kwenda kupigana na jeshi la Russia wakishirikiana na wanajeshi wa Ukraine.

  • Jibu la China kwa tuhuma za Blinken

    Jibu la China kwa tuhuma za Blinken

    Mar 04, 2022 08:37

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Wang Wenbin ameyataja matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken kuhusu mkoa wa Xinjiang kuwa ni shutuma zisizo na msingi. Katika ujumbe wake wa video, Blinken aliishutumu China kwa kuendeleza kile alichodai kuwa ni mauaji ya kimbari na uhalifu dhidi ya binadamu katika mkoa wa Xinjiang.

  • Shamkhani: Mashinikizo ya juu yamefelishwa na sera ya muqawama

    Shamkhani: Mashinikizo ya juu yamefelishwa na sera ya muqawama

    Mar 03, 2022 22:59

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema stratejia ya muqawama amilifu ndiyo iliyoishinda na kusambaratisha sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi ya aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump dhidi ya Iran.

  • Iran yaionya Marekani, yasema ina mpango wa pili iwapo mazungumzo ya Vienna yatafeli

    Iran yaionya Marekani, yasema ina mpango wa pili iwapo mazungumzo ya Vienna yatafeli

    Mar 01, 2022 07:35

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Saeed Khatibzadeh ameionya Marekani kuhusu ‘kuhadaa na kuboronga’ katika mazungumzo ya Vienna yaliyoitishwa kufufua mapatano ya nyuklia ya mwaka 2015 ya JCPOA. Katika ujumbe wake kupitia Twitter mapema Jumanne, Khatibzadeh amesema Iran iko tayari kufikia mapatano kupitia mazungumzo lakini haitasubiri milele.

  • Kiongozi Muadhamu: Ukraine imekuwa mhanga wa siasa za utawala wa kimafia wa Marekani

    Kiongozi Muadhamu: Ukraine imekuwa mhanga wa siasa za utawala wa kimafia wa Marekani

    Mar 01, 2022 04:45

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani ni utawala wa kimafia na kwamba, Ukraine imekuwa mhanga wa siasa za Washington.

  • China yalaani uchokozi wa meli ya kivita ya Marekani katika Njia Bahari ya Taiwan

    China yalaani uchokozi wa meli ya kivita ya Marekani katika Njia Bahari ya Taiwan

    Feb 27, 2022 04:34

    China imeutaja kuwa ni "uchochezi" hatua ya kupita meli ya kivita ya Marekani katika Lango Bahari la Taiwan ambalo ni nyeti kimkakati, kwani inatenganisha eneo la Taipei ya China (Taiwan) linalojitawala na China Bara.

  • Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Russia

    Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Russia

    Feb 27, 2022 00:22

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi, na Rais wa Russia, Vladimir Putin, walifanya mazungumza ya simu Alhamisi iliyopita kuhusu masuala ya kimataifa na mazungumzo yanayoendelea huko Vienna kuhusu suala la kuondolewa vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Iran.

  • Rais wa Ukraine akataa

    Rais wa Ukraine akataa "ofa" ya Marekani, asema: Nahitaji silaha na si kukimbia nchi yangu

    Feb 26, 2022 05:22

    Wakati milio ya sauti za silaha nzito ikiendelea kurindima katika viiunga vya mji mkuu wa Ukraine, Kiev baada ya kusita kwa muda mfupi usiku wa kuamkia leo, Rais wa Ukraine amekata "ofa" ya Marekani ya kumsaidia kuondoka nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS