Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Hizbullah: Ukraine ilifanya makosa kuitegemea Marekani

    Hizbullah: Ukraine ilifanya makosa kuitegemea Marekani

    Feb 26, 2022 04:18

    Mkuu wa Baraza Kuu la harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema ni makosa kwa baadhi ya nchi kutegemea uungwaji mkono na himaya ya Marekani, na kwamba kadhia ya Ukraine imethibitisha tena ukweli huo.

  • Vikwazo vyenye wigo mpana vya Wamagharibi dhidi ya Russia

    Vikwazo vyenye wigo mpana vya Wamagharibi dhidi ya Russia

    Feb 25, 2022 10:03

    Baada ya Russia kuchukua uamuzi wa kuishambuulia kijeshi Ukraine, kambi ya magharibi imeonyesha radiamali katika fremu ya kuiwekea vikwazo Moscow ambapo kabla ya hapo madola hayo yalikuwa yameahidi kuchukua uamuzi huo.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Hatua za kichochezi za NATO zimeifanya hali katika eneo iwe tata

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Hatua za kichochezi za NATO zimeifanya hali katika eneo iwe tata

    Feb 25, 2022 09:39

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehrah amesema, hatua za kichochezi zilizochukuliwa na shirika la kijeshi la NATO kwa uongozi wa Marekani zimetatanisha hali ya mambo katika eneo; na si hasha zikaifanya iwe tata zaidi.

  • Jeshi la Yemen laitungua droni ya pili ya Marekani katika mkoa wa Ma'rib

    Jeshi la Yemen laitungua droni ya pili ya Marekani katika mkoa wa Ma'rib

    Feb 25, 2022 09:11

    Jeshi la Yemen likishirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi zimeitungua ndege ya pili isiyo na rubani iliyoundwa na Marekani.

  • Chama cha Fat'h: Marekani inashirikiana na Israel kuwakandamiza Wapalestina

    Chama cha Fat'h: Marekani inashirikiana na Israel kuwakandamiza Wapalestina

    Feb 25, 2022 03:25

    Katibu wa Kamati Kuu ya chama cha Fat'h cha Palestina amesema kuwa, eneo la Sheikh Jarrah na maeneo mengine ya Quds yanayokaliwa kwa mabavu, yanaendelea kushuhudia vitendo vya kigaidi vya utawala wa Kizayuni wa Israel na kwamba jinai hizo zinafanyika kwa uungaji mkono kamili wa Marekani.

  • Takwimu: Vifo vya uzazi vimeongezeka Marekani kutokana na ubaguzi wa rangi

    Takwimu: Vifo vya uzazi vimeongezeka Marekani kutokana na ubaguzi wa rangi

    Feb 24, 2022 09:05

    Vifo vya uzazi vya akina mama nchini Marekani, ambayo ndiyo inavyoongoza kwa sasa duniani, vilifikia kiwango cha juu zaidi katika nusu karne mwaka wa 2020, na uwezekano wa kufariki dunia wanawake weusi wenye asili ya Afrika raia wa Marekani ni mara tatu zaidi ya wanawake wa kizungu.

  • Iran: Uingiliaji wa US, NATO umeshadidisha mgogoro wa Ukraine

    Iran: Uingiliaji wa US, NATO umeshadidisha mgogoro wa Ukraine

    Feb 22, 2022 23:12

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali chokochoko za Marekani na shirika la kijeshi la NATO katika mgogoro wa Ukraine na kusisitiza kuwa, uingiliaji huo umeshadidisha taharuki mashariki mwa nchi hiyo jirani na Russia.

  • Msimamo wa mwakilishi maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan kuhusu kuendelezwa diplomasia na Taliban

    Msimamo wa mwakilishi maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan kuhusu kuendelezwa diplomasia na Taliban

    Feb 22, 2022 11:14

    Baada ya kupita miezi sita tangu wanamgambo wa Taliban wachukue madaraka nchini Afghanistan, mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan amesema kuwa, kuendelezwa mawasiliano na Taliban na kufanyika mazungumzo baina ya Waafghani ndio chaguo bora zaidi na ni kwa maslahi ya pande zote nchini humo pamoja na jamii ya kimataifa.

  • Newsweek: Trump yumkini akafungwa jela miaka mitano

    Newsweek: Trump yumkini akafungwa jela miaka mitano

    Feb 20, 2022 21:43

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, huenda akafungwa jela miaka mitano kwa madai kwamba alichukua nyaraka za siri za Ikulu ya Rais wa Marekani kuhusiana na usalama wa taifa alipoondoka madarakani mwaka jana.

  • Familia yalaani hukumu 'laini' dhidi ya polisi mzungu aliyeua kijana mweusi US

    Familia yalaani hukumu 'laini' dhidi ya polisi mzungu aliyeua kijana mweusi US

    Feb 20, 2022 04:31

    Wanasheria na familia ya kijana mwenye asili ya Afrika aliyeuawa na polisi mzungu nchini Marekani mwaka jana wamelaani vikali kitendo cha kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili pekee askari huyo muuaji katika mji Minneapolis.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS