-
Russia yamfukuza Naibu Balozi wa Marekani mjini Moscow
Feb 17, 2022 23:37Russia imemtimua mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani nchini humo, wakati huu ambapo nchi mbili hizo zinaendelea kuzozana kuhusu madai ya Wamagharibi kuwa serikali ya Moscow ina azma ya kuivamia kijeshi Ukraine.
-
Putin asisitiza, Russia haina nia ya kuingia vitani na Ukraine
Feb 16, 2022 23:18Rais Vladimir Putin wa Rassia aliuambia mkutano wa waandishi wa habari siku ya Jumanne baada ya kukutana na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, huko Kremlin kwamba ametoa wito kwa nchi za Magharibi kujiepusha kupeleka silaha za kivita kwenye mipaka ya Russia na kwamba zinapaswa kusitisha upanuzi wa shirika la NATO upande wa Mashariki.
-
Taliban yatishia kuangalia upya sera za Afghanistan kwa Marekani
Feb 15, 2022 23:05Serikali ya Taliban nchini Afghansitan imetishia kuangalia upya misimamo na sera zake kwa Marekani, iwapo Washington itakataa kuachia mabilioni ya fedha za Waafghani ilizozuilia.
-
Hotuba ya Imran Khan kuhusu kuwa na matokeo hasi vita vya Marekani dhidi ya ugaidi
Feb 15, 2022 23:05Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amekosoa sera na utendaji wa Marekani nchini Afghanistan na kusisitizia ulazima wa Washington kubadilisha mtazamo wake kuhusiana na hatua zake za kijeshi nje ya nchi; na akasema kuwa, vita vya Marekani dhidi ya ugaidi vimekuwa na matokeo hasi na vimesababisha kuongezeka ugaidi duniani.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan: Vita vya Marekani dhidi ya ugaidi vimekuwa na matokeo hasi
Feb 14, 2022 23:32Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amekosoa sera na utendaji wa Marekani nchini Afghanistan na kusisitizia ulazima wa Washington kubadilisha mtazamo wake kuhusiana na hatua zake za kijeshi nje ya nchi; na akasema: vita vya Marekani dhidi ya ugaidi vimekuwa na matokeo hasi na vimesababisha kushamiri ugaidi duniani.
-
Juhudi za Marekani za kuendelea kuisaidia UAE katika vita dhidi ya watu wa Yemeni
Feb 14, 2022 22:50Ndege kadhaa za kivita za Marekani ain ya F-22 siku ya Jumamosi ziliwasili katika Kituo cha Ndege za Kivita cha Al-Dhafra katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Kwa mujibu wa Jeshi la Anga la Marekani, kutumwa kwa ndege hizo za kivita kunafuatia mapatano baina ya ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin, na Mrithi wa Ufalme wa Abu Dhabi, Mohammed bin Zayed Al Nahyan.
-
Khatibzadeh: Iran inasubiri majibu ya Wamagharibi katika mazungumzo ya Vienna
Feb 14, 2022 07:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, hakuna mkwamo wowote katika mazungumzo ya Vienna na kilichopo ni kwamba hivi sasa Iran inasubiri majibu kutoka kwa nchi za Magharibi zinazoshiriki kwenye mazungumzo hayo.
-
Waafghani waandamana kulaani wizi wa mabilioni uliofanywa na Marekani
Feb 13, 2022 09:15Wananchi wa Afghanistan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kabul, kulalamikia kitendo cha hatua ya Marekani ya kupora mabilioni ya dola za Afghanistan na kuzitumia kuwalipa wanaodai fidia kutokana na mashambulizi ya Septamba 11 mwaka 2001.
-
China: Sifa ya utumiaji mabavu inaistahiki Marekani peke yake
Feb 13, 2022 00:45Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China amesema, sifa ya utumiaji mabavu inaistahiki Marekani peke yake.
-
Kuongezeka indhari kuhusu uwezekano wa kutokea vita mashariki mwa Ulaya
Feb 12, 2022 06:43Nchi za Magharibi zinaendelea kutoa tahadhari mbalimbali kuhusu uwezekano wa Russia kuishambulia Ukraine kufuatia kuongezeka mivutano huko Ulaya Mashariki kati ya Moscow na Kiev.