Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Uporaji wa mali ya Syria na Iraq, sababu ya mashinikizo ya wananchi ya kutaka wavamizi wa Kimarekani waondoke

    Uporaji wa mali ya Syria na Iraq, sababu ya mashinikizo ya wananchi ya kutaka wavamizi wa Kimarekani waondoke

    Jun 21, 2021 22:01

    Kuwepo kwa majeshi vamizi ya Marekani katika eneo lolote la Magharibi mwa Asia na hata maeneo mengine ya dunia daima kumekuwa sababu ya ukosefu wa amani na mashaka na machungu kwa wakazi wa maeneo hayo, tofauti kabisa na madai yanayotolewa na serikali ya Washington.

  • Ansarullah yakosoa kauli ghalati ya jenerali wa kijeshi wa US dhidi ya Yemen

    Ansarullah yakosoa kauli ghalati ya jenerali wa kijeshi wa US dhidi ya Yemen

    Jun 20, 2021 22:19

    Mwanachama wa ngazi ya juu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amemkosoa vikali Kamanda Mkuu wa Kamandi Kuu ya Kijeshi ya Marekani (CENTCOM) kwa kutoa matamshi yasiyo na msingi kuwa Sanaa imekataa kuketi kwenye meza ya mazungumzo na kusisitiza kuwa, afisa huyo wa Washington hana ufahamu wowote kuhusu siasa.

  • Kim ataka Korea Kaskazini ijiandae kwa makabiliano na Marekani

    Kim ataka Korea Kaskazini ijiandae kwa makabiliano na Marekani

    Jun 19, 2021 00:34

    Kiongozi wa Korea Kaskazini amesema nchi hiyo inakaribisha mpango wowote wa kufanyika mazungumzo mapya baina yake na Marekani, lakini kamwe haiweza kuondoa mezani chaguo la vita.

  • Biden atafakari kuvirejesha vikosi vya Marekani nchini Somalia

    Biden atafakari kuvirejesha vikosi vya Marekani nchini Somalia

    Jun 17, 2021 03:04

    Rais wa Marekani, Joe Biden anatafakari kuwarejesha wanajeshi wa nchi hiyo huko Somalia, eti kwenda kusaidia juhudi za kupambana na magaidi wa kundi la ukufurishaji la al-Shabaab.

  • Uzinduzi wa Stratijia ya Kitaifa ya Kupambana na Ugaidi wa Ndani nchini Marekani

    Uzinduzi wa Stratijia ya Kitaifa ya Kupambana na Ugaidi wa Ndani nchini Marekani

    Jun 16, 2021 23:07

    Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, Jumanne wiki hii ilizindua Stratijia ya Kitaifa ya Kupambana na Ugaidi wa Ndani (National Strategy for Countering Domestic Terrorism) ambayo imetayarishwa na Baraza la Usalama wa Taifa. Kwa mujibu wa hati hiyo, taasisi zote za utekelezaji ndani ya Marekani zinalazimika kupambana na aina mbalimbali za ugaidi wa ndani ya nchi hiyo.

  • Watafiti: Mlipuko wa Corona ulidhihiri nchini Marekani mnamo Desemba 2019

    Watafiti: Mlipuko wa Corona ulidhihiri nchini Marekani mnamo Desemba 2019

    Jun 16, 2021 21:54

    Watafiti wa Marekani wamefichua kuwa, mlipuko wa virusi vya corona ulidhihiri nchini humo mwezi Disemba mwaka 2019.

  • Kuongezeka mara tatu ufyatuaji risasi wa mauti dhidi ya watoto mjini Chicago, Marekani

    Kuongezeka mara tatu ufyatuaji risasi wa mauti dhidi ya watoto mjini Chicago, Marekani

    Jun 14, 2021 23:23

    Matukio ya ufyatuaji risasi wa kutisha dhidi ya watoto yanayousababisha vifo vingi katika mji wa Chicago, Marekani vimeongezeka mara tatu mwaka huu ikilinganishwa na mwaka uliopita wa 2020.

  • Visingizio vinavyotumiwa na Marekani kuzuia misaada kwa nchi maskini duniani

    Visingizio vinavyotumiwa na Marekani kuzuia misaada kwa nchi maskini duniani

    Jun 12, 2021 22:50

    Wakati maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa COVID-19 vikiendelea kusababisha mgogoro wa kiuchumi na umaskini katika nchi mbalimbali duniani na kuzifanya nchi hizo zihitajie misaada zaidi ya nchi tajiri, maafisa wa serikali ya Marekani wanafanya mikakati ya kuzuia misaada kwa nchi hizo kwa kutumia visingizio vya aina mbalimbali.

  • Waandishi habari wa Marekani wataka kuakisiwa jinai za Israel katika vyombo vya habari vya nchi hiyo

    Waandishi habari wa Marekani wataka kuakisiwa jinai za Israel katika vyombo vya habari vya nchi hiyo

    Jun 12, 2021 22:20

    Zaidi ya Waandishi wa habari 500 wa Marekani wamesaini barua ya pamoja wakitaka kuakisiwa na kutangazwa habari zinazohusiana na dhulma na siasa za kibaguzi za Israel huko Palestina.

  • Iran: Marekani inalia machozi ya mamba, haijaachana na sera za Trump

    Iran: Marekani inalia machozi ya mamba, haijaachana na sera za Trump

    Jun 12, 2021 08:36

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisiasa amesema ni kinaya kuiona Marekani inalia machozi ya mamba katika hali ambayo Washington inaendeleza jitihada zake za kuwataabisha na kuwahangaisha kwa njaa na umaskini Wairani milioni 82.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS